Wenzio wanawavisha pete za uchumba na mchozi juu, wewe unatembeza ngumi?Ama kweli za kuambiwa changanya na za kwako, hili nimeliamini leo baada ya mambo kunikuta...
Iko hivi kuna mtu aliwahi kuja humu jukwaani kuhusu mada ya kumpiga mwanamke kama ni sahihi au la... Kwenye mjadala huo kuna mdau mmoja alitoa mchango akasema kuwa mwanamke hapigwi maana huwez kumpiga mwanamke unaweza kumuua lakini unachoweza kufanya ni kumnasa hata kibao kimoja tu ili akili imkae sawa, nakumbuka mdau huyo aliungwa mkono sana kwamba wazo lake ni mujarab...
Sasa mimi jana shemej yenu alinitibua nikaona ngoja nimuonje kibao ili akili ikae sawa, nikamnasa kimoja japo hakikua kikali sana lkn kilikua si haba...
Cha ajabu alianza kububujika machozi kama bomba la DAWASCO hatimaye akaondoma kwenda kwao (hatujaona bado ni mchumba wangu) baada ha kufika kwao alinitumia sms ndefu mno na kumalizia kusema kuwa yeye haolewi na bondia kwa hiyo nimtafute bondia mwenzangu
Sasa simu zangu hapokei wala sms hajibu na kwa maelezo kutoka kwa rafiki yake wa karibu anasema yuko serious harud nyuma na amefunga ukurasa...
JF, JF, JF, JF, why lkn
Me wangu nilimzabaaa kofii akaacha ujingaa ilaa bado hasahau yanii anakumbukaa balaa anasema ananiesabia tuu ...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hajamtoka moyoni lakini kitendo cha kumpiga tayari kimeshaweka doa, na kwako jinsi bi dada alivyochukulia kitendo hicho cha kupigwa nadhani atachukua nafasi ya kutazama tena mahusiano yake kama yupo mahali sahihi au la, kitendo cha kwenda kubeba mwanamke mwingine tena huwezi jua atachukuliaje pia. Mtoa mada we endelea kufuata ushauri wao hawa kama uko tayari kuachwa ila kama hauko tayari nenda taratibu
Kuna X wangu mmoja anapenda kutumia msemo huo,Ama kweli za kuambiwa changanya na za kwako, hili nimeliamini leo baada ya mambo kunikuta...
Iko hivi kuna mtu aliwahi kuja humu jukwaani kuhusu mada ya kumpiga mwanamke kama ni sahihi au la... Kwenye mjadala huo kuna mdau mmoja alitoa mchango akasema kuwa mwanamke hapigwi maana huwez kumpiga mwanamke unaweza kumuua lakini unachoweza kufanya ni kumnasa hata kibao kimoja tu ili akili imkae sawa, nakumbuka mdau huyo aliungwa mkono sana kwamba wazo lake ni mujarab...
Sasa mimi jana shemej yenu alinitibua nikaona ngoja nimuonje kibao ili akili ikae sawa, nikamnasa kimoja japo hakikua kikali sana lkn kilikua si haba...
Cha ajabu alianza kububujika machozi kama bomba la DAWASCO hatimaye akaondoma kwenda kwao (hatujaona bado ni mchumba wangu) baada ha kufika kwao alinitumia sms ndefu mno na kumalizia kusema kuwa yeye haolewi na bondia kwa hiyo nimtafute bondia mwenzangu
Sasa simu zangu hapokei wala sms hajibu na kwa maelezo kutoka kwa rafiki yake wa karibu anasema yuko serious harud nyuma na amefunga ukurasa...
JF, JF, JF, JF, why lkn
Kuna mmoja anaoenda kutumia msemo huo,
Mpk nimehisi ni yeye,
Mkuu usikute ni ex wangu huyo?
Jina lake lina anzia na M?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini baby....
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀 wonders shall never endMkuu pole sana, ila kikubwa umeonyesha uanaume wako..kama sio wako sio wako tu hata ungembeba mgongoni. Well done na ww Hakuna kurudi nyuma.ni mwendo wa vitasa tu.
Sent using Jamii Forums mobile app