Wadau wa Mitindo: Umevaa Kiatu gani Leo?

1000363626.jpg
1000363612.webp

Warrior
 
Nakulipa mkuu, hizi ninazo pair nyingi mno, dah! Ukiwa busy unashindwa pangilia unavaa vilivyopo karibu. Nina trouser mbili na tishert tatu, ni hizo hizo narudi rudi mara nyingi kama sina nguo nyingine na nina viatu ambavyo havinibanduki kila siku ni hivyo hivyo. Nadhani ukiwa na mwenza anayejua kuvaa, kila siku asubuh unapiga mitoko ya kitofauti.
 
Tatizo linalonisumbua mimi nina madogo wawili. Wanakuja home Ijumaa, wanarudi hostel jumapili, wakiondoka lazima pair 2 za viatu nisione. Ndio ivyo utafanyeje sasa.
 
Back
Top Bottom