Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,913
- 67,435
Ufungaji huo ushapita na wakati angalia tiktok jinsi ya kufunga kambaNajua sijui kufunga kama, nanyongorota
View attachment 3513938
Ufungaji huo ushapita na wakati angalia tiktok jinsi ya kufunga kambaNajua sijui kufunga kama, nanyongorota
View attachment 3513938
Hii J4 haijawahi kuisha tasteNajua sijui kufunga kama, nanyongorota
View attachment 3513938
Hio tiktok hata sjui inafanyafanywaje labda YouTube. Mambo ni mengi mda mchache ila nitajitahidiUfungaji huo ushapita na wakati angalia tiktok jinsi ya kufunga kamba
Viko aina mbali mbali mimi nimeangalia taste yanguAisee hizo vyuma aisee
kuna rafiki alininyang’anya hii, sasa kila tukionana namlalamikia, ndio akaniletea hii j4 kama zawadi ila sio rangi zangu pendwaHii J4 haijawahi kuisha taste
Ahaha pia youtube utapataHio tiktok hata sjui inafanyafanywaje labda YouTube. Mambo ni mengi mda mchache ila nitajitahidi
Jordan 5 ni my 3rd fav Jordan after 1 and 4. Sijavaa hizi like 2 years. Ngoja niitafute aiseeView attachment 3515451Achana na kamba
Wapenzi wa viatu huwezi kosa hii kwenye collection yako.. soonNgoja tuvae hivi vya David Sportswear najua 2026 havifiki June vya kutupa..
View attachment 3520369
I love blue but not Monday
Una mguu mzuri ninaoupendaNi kufinish.....😁