Haha, anza wewe mkuu, uzi wa viatuHii ni maajabu!!!
Ina maana jukwaa zima hakuna mtu anavaa sandals?
balaa na nusu.
Dogo soft sana. Utaweza maandamano ya No Reform No election kweli wewe?
Nitaweza kaka 😀😀Dogo soft sana. Utaweza maandamano ya No Reform No election kweli wewe?
Kunjua vidole masta
Kiatu kikali sana hiki aiseeView attachment 3039635
Nipo hapa kuwawakilisha mabroo wanaopiga pamba kali mpaka watu wanadhani unaringa
Boss kama boss
Mkuu mie nimeona tu hapo ilipoishia tai jamani ila kiatu kimetulia sana aisee😍
AmeeenSiku na mimi nikinunua viatu,nitarudi kuchangia huu uzi,
Wote tuseme Ameen.
Mkuu hicho cha kwanza bei gani
Tzs 65000/=Mkuu hicho cha kwanza bei gani