WADAU WA JF NAOMBA MSAADA TUTANI KUHUSU EMS.

the_forum

JF-Expert Member
Apr 28, 2017
774
1,001
Habari wadau...kama title inavojieleza,naomba kujua EMS wanasafirisha vp documemts zilizo ktk hard copy?

Nachohitaji kujua ni haya yafuatayo?

*muda unaoweza kutumika kusafirisha... (Mwanza to dsm)
-je inaweza tokea parcel ikasafirishwa within few hours na ukaipata haraka?

*gharama inahusu nin hasa? Umbali au aina ya documents unazosafirisha?

*je kuna uwezekano mtu bnafsi (sio ofisi au taasisi) ukatumiwa mzigo kwa EMS na unaupokea vp?

Wajuzi wa hili naomba wanipe msaada wa haraka kwasababu kuna document natakiwa niipate kesho angalau mchana ikichelewa na ipo mwanza wakati huu. Pia kama kuna njia nyingne ya kusafirisha haraka basi naomba kujizwa plz.
 
Back
Top Bottom