Wazo zuri mkuu!Matokeo ya form six tayari yameshatoka na harakati za kuanza kutafuta kozi za kusomea huko vyuoni tayari zimeshaanza. Nafaham kazi kubwa ya watu wa iT ni ku solve problems in our society sasa nmefikiria hili wazo.
Nimeona post nyingi sana hapa jamiiforums na huko fb ndo usiseme nakutana nazo nyingi tu watu wakiomba ushauri kwa matokeo ambayo wameyapata (either form 4 or form 6) ni kozi gani wanaweza kusomea vyuoni zinazoendana na qualifications zao!.
Sasa wazo lenyewe liko hivi.....
Hakuna uwezekano wa kutengeneza app watu waka download play store au apps store ambayo itakua inauwezo wa kumtafutia mtu kozi inayo match na matokeo yake aliyoyapata?
Yaani hiyo app iwe inafanya kazi namna hii...
Mtu anadownld anajaza matokeo yake kisha anabonyeza kitufe cha ku search kisha app inamletea list ya kozi ambazo anaweza kusoma mtu mwenye matokeo kama hayo, pia kwa kujiongeza zaidi inaweza kwenda mbali na kuleta hadi list ya vyuo ambavyo vinatoa kozi hizo.
Wadau wa programming hebu fanyeni mambo hapo mi nawapa hilo wazo buree!
ni kweri wazo zuli,lakini ni muhimu tuwe makini na technology . Kuchagua kozi inategemea na upenzi na wakati mwingine uwezo wa mtu. Mungu ametuumba tofauti na tunauwezo tofauti usisome kitu kwa sababu flani kasema angalia dhamili yako na uwezo wako . Muda ni mali tusichezee muda maana ata dakika moja ikipita aitarudi tena nyuma katika maisha yako yote adi utakapo ondoka katika dunia hii.Wazo zuri mkuu!
Nataka nifunzwe na mtu mkuuKila kitu kipo mtandaoni sasa hivi you can learn, yes you can!
Then pole. IT ni pana sana kuliko unavyodhani. class lazima uingieMm nataka kujifunza IT just for funny tu niwe nauelewa..
Ila sitak kwenda chuo.
Mr.genius not in IT. Somethings lazima mtu akupigishe slides maana hiv hiv hutaelewa chochote.Kila kitu kipo mtandaoni sasa hivi you can learn, yes you can!
Umekosa sifa moja wapo ya mtu wa IT ya "Curiosity"Nataka nifunzwe na mtu mkuu
Una over rate vituMr.genius not in IT. Somethings lazima mtu akupigishe slides maana hiv hiv hutaelewa chochote.
Bro an so interested to knkw itm.Umekosa sifa moja wapo ya mtu wa IT ya "Curiosity"
Kwa nini unatafuta mtu sasa kama kila kitu kipo teari onlineBro an so interested to knkw itm.
Niko very Curious kujifunza vitu..
Kama unaweza tafuta mtu akupe basics za IT na vitu muhimu vya kujifunza then kula tutorials za kutosha UTube, Apps mbalimbali na msaada kutoka kwa watu, hapo utapata foundation ya IT.Nataka nifunzwe na mtu mkuu
Nahisi mleta mada analenga zaidi kwa wale wenzangu wasiojua pa kuanzia ni nini wafanye na kwa wakati gani!ni kweri wazo zuli,lakini ni muhimu tuwe makini na technology . Kuchagua kozi inategemea na upenzi na wakati mwingine uwezo wa mtu. Mungu ametuumba tofauti na tunauwezo tofauti usisome kitu kwa sababu flani kasema angalia dhamili yako na uwezo wako . Muda ni mali tusichezee muda maana ata dakika moja ikipita aitarudi tena nyuma katika maisha yako yote adi utakapo ondoka katika dunia hii.
Hahahahaa c unajuwa sometime tokeo linakuja tofauti na ulivyo plan.hivi mpaka matokeo yanatoka mtu ulikuwa hujaplan nilikuwa naenda kusomea nin?
mimi ikinitokea hivyo huwa nakwazika sana, hii ndio inasababisha mtu kwenda kusomea kitu asicho na ujuzi nachoHahahahaa c unajuwa sometime tokeo linakuja tofauti na ulivyo plan.
Yah ndio hivyo plan A ikifeli unalianzisha la Plan B.mimi ikinitokea hivyo huwa nakwazika sana, hii ndio inasababisha mtu kwenda kusomea kitu asicho na ujuzi nacho
SUREYah ndio hivyo plan A ikifeli unalianzisha la Plan B.
Nataka nifunzwe na mtu mkuu