Wadau wa Arusha Eva Anaendeleaje? Tujuzeni Please | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wadau wa Arusha Eva Anaendeleaje? Tujuzeni Please

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Bobby, Sep 20, 2010.

 1. B

  Bobby JF-Expert Member

  #1
  Sep 20, 2010
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,682
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  Takribani wiki mbili zilizopita kulikuwepo na habari hapa jeief kwamba moja ya nyumba ndogo za mgombea mmoja wa urahisi ilikuwa hoi bin taabani kitandani kwa maradhi. Ukitilia maanani kwamba uchaguzi unatugharimu mabilioni ya pesa hivyo tusingependa tuurudie uchaguzi huo na kutugharimu walipa kodi.

  Ni ukweli usiopingika kwamba afya ya dada yetu Eva ni muhimu kwetu katika kufanya maamuzi ya busara mbele ya sanduku la kura 31 October 2010 kwani inaakisi afya ya mgombea huyo. Je ndugu zetu wa Arusha dada yetu anaendeleaje?

  Na je mwenzi wake huyo alifanikiwa japo kwenda kumjulia hali wiki iliyopita alipokuwa huko kwa kampeni?
   
 2. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #2
  Sep 20, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Tuambie ni nyumba ndogo ya nani ili tuweze kufanya huo uamuzi wa busara ifikapo Oct 31.
   
 3. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #3
  Sep 20, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  JEI KEi
   
 4. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #4
  Sep 20, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Duh!:eyeroll2:
   
 5. Kunta Kinte

  Kunta Kinte JF-Expert Member

  #5
  Sep 20, 2010
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 3,660
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Asee acha bana, jamaa akiguswaga anafungia, unakumbuka kule ZE nani?
   
 6. Mpambalyoto

  Mpambalyoto JF-Expert Member

  #6
  Sep 20, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu hawana muda wa kufunga tena siku hizi, wanaua
   
 7. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #7
  Sep 20, 2010
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Haya sasa mambo ndio hayo ,mlijitia wajanja kutumia proxy kumchafua Slaa sasa mambo yanawageukia kwa kupitia kwa huyo EVA wa Arusha anaesemekana yuko mahututi kitandani!! Mlimwaga mboga na sasa wenzenu wanamwaga ugali!!
   
 8. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #8
  Sep 20, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Ooooh...Goshhh!
  Sasa hv kinachoangaliwa ni kwenda ikulu tu, hafikiriwi mgonjwa wala shemejie!
   
 9. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #9
  Sep 20, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  !!!gulp!!
   
Loading...