Technohama
Member
- May 2, 2014
- 14
- 1
Baada ya kozi nini kinaendelea sasa kuna cheti?
Na wanaotoka mbali kunautaratibu gani kuhusu maradhi na chakula?
Washiriki wote watakabidhiwa cheti baada ya kumaliza kozi. Kuhusu hostel utaratibu unaweza kufanyika kwa atakayetoka mbali.
Habari wadau.
Wale wanaopenda kujifunza kutengeneza Apps za Android tukutane Arusha Tech kutakua na course itakayoanza 18/08/2014 kwa wiki moja na bei ni sh 80,000/= tu hio ni phase 1. Na phase ya pili itaanza tar 25/08/2014 kwa wiki mbili bei ni sh 100,000/=
Nimeattach tangazo kwa info zaidi.
View attachment 177231
Like this one👇i learn myself how to create apps, xo gud work
Naomba Mnishauri Mtiririko Mzuri Wa Kuxoma Hiz Programing Languages Yani Nianze Na Ipi Na Ipi Ifate Na Kuendelea, Nataka Nianze Leo Jaman