MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 31,760
- 48,407
Hii picha imenikumbusha mbali sana, siku nzima furaha tu yaani haukumbuki msosi wala nini, sio kama leo vitoto vinawaza simu tu, akicheza nje dakika kumi anahema na kurudi ndani acheze games za kwenye simu, mtoto mdogo ila amenenpa na kuvimba mwili utadhani Kim wa Korea.
Tuliopata bahati ya kushiriki hii michezo ya utotoni tutupie mapicha humu.
Tuliopata bahati ya kushiriki hii michezo ya utotoni tutupie mapicha humu.