Wadau tulioyafanya haya miaka ya 80s tutupie mapicha humu

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,749
48,365
Hii picha imenikumbusha mbali sana, siku nzima furaha tu yaani haukumbuki msosi wala nini, sio kama leo vitoto vinawaza simu tu, akicheza nje dakika kumi anahema na kurudi ndani acheze games za kwenye simu, mtoto mdogo ila amenenpa na kuvimba mwili utadhani Kim wa Korea.

Tuliopata bahati ya kushiriki hii michezo ya utotoni tutupie mapicha humu.

107714580_309569573780722_7369937046686506392_n.jpg
 
enzi hizo
JamiiForums688672123.jpg
 
Back
Top Bottom