Wadau tulioyafanya haya miaka ya 80s tutupie mapicha humu

Hiki kitu tulikua tunakitafuna moja kwa moja kutoka shambani, sio kama siku hizi lazima kisu kihusike....

119403504_3633777166645942_2379964061895651654_n.jpg
Nakumbuka ilikuwa nikiingia kwenye mashamba ya watu kuiba nazi, nilikuwa nazifua kwa meno!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Changamoto ilikuwa jinsi gani ya kurudi nyumbani, jinsi gani ya kuingia ndani ili usionekane na kupata adhabu ya bakora na ukute nguo ulizokuwa umevaa ni nyeupe [ za shule ]
View attachment 1566961

View attachment 1566962

View attachment 1566963

View attachment 1566964
Kipa yuko makini
Yani mie nakumbuka michezo hiyo, nilcheza. Hizo BAYSKEL za miti, kwetu tuziita lingisha. Watoto was miaka hii hawataki kuumiza vichwa vyao, mambo yoote ktk google. Huu ni mswiba tens mkubwa. Mitoto ya sasa mid naiitaga bloyla. Wiki tu, toka azaliwe anakimbilia hela au simu. Tena ukimuwekea not I ya 1,000 na sarafu mbili za mia mbili, anakimbilia noti duh!!!
 
Back
Top Bottom