Mr Donn utafanya la maana sana ! Wapanue Baba wanaohitaji kupanuliwa.
mi ntawapanua ipasavyo... Nitajaribu angalau kila anayeviziti jukwaa asitoke bure.... Walu nimpanue kidogo.... Unajua namna hiyo mtu unajifunza mengi sana
Judgement najua ulipanuliwa lakini why umeandika mno kimlazo bhana
ungeandika kwa herufi kubwa ili watu wakusome sawa sawia
najua umepanuliwa ukaweza kupata mashamba huko katesh na sasa unalima
ngano ambayo unamuuzia tajiri yule anayetengeneza mikate ya kusapulai nchi nzima.
pia ulipanuliwa ukaweza kupata mamsabu hapa hapa jf, na mengi mengine lakini si ujieleze fresh.