Wadau sensa ni shilingi ngapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wadau sensa ni shilingi ngapi?

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by lukme, Aug 9, 2012.

 1. l

  lukme Senior Member

  #1
  Aug 9, 2012
  Joined: Apr 18, 2012
  Messages: 191
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  habari za kutwa. Mbeya Rungwe 32000 per day baada ya kutoa 3000 chakula. je kwa waliopata sehemu zingine ni kiasi gani? naomba jibu wadau kwan tetesi ni nyingi sana
   
 2. N

  Ndikwega JF-Expert Member

  #2
  Aug 9, 2012
  Joined: Feb 1, 2012
  Messages: 4,499
  Likes Received: 1,917
  Trophy Points: 280
  Hivi wewe unaenda kufanya kazi au kuchukua pesa?acheni tamaa za pesa hizo, ndiyo maana mnakuwa wezi baadaye mkikabidhiwa ofisi
   
 3. T

  The Infamous JF-Expert Member

  #3
  Aug 9, 2012
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 719
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  elfu 32000 kwa siku bado unaonekana kutokuridhika? kweli wezi hawatakwisha
   
 4. S

  Shuju Member

  #4
  Aug 9, 2012
  Joined: Jun 22, 2012
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Jaman na nyie ameulza na ana hak ya kujbiwa we kama unajua mpe info mana wengne waweza lpwa juu ama chn afu iliwe juu kwa juu naomba funguken mlio na taarfa
   
 5. kikaragosi

  kikaragosi Senior Member

  #5
  Aug 9, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 112
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  :flypig: 32500 per day na chakula 25000 wengne,kwa dodoso ndefu cjui fupi wanalipwaji maana cc ndo tuambiwa leo kwenye semina
   
 6. prakatatumba

  prakatatumba JF-Expert Member

  #6
  Aug 9, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,337
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Sisi tumeanza semina leo,mpunga wanasema bado
   
 7. r

  raskazone New Member

  #7
  Aug 9, 2012
  Joined: Aug 8, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  32500 kwa siku kwa dodoso refu kwa semina siku 8
   
 8. m

  mosagane Senior Member

  #8
  Aug 9, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 122
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  semina ni siku ngapi?
   
 9. r

  raskazone New Member

  #9
  Aug 9, 2012
  Joined: Aug 8, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Siku 8
   
 10. prakatatumba

  prakatatumba JF-Expert Member

  #10
  Aug 9, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,337
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Mimi dodoso refu wametuambia siku 10 au 11
   
 11. l

  lukme Senior Member

  #11
  Aug 9, 2012
  Joined: Apr 18, 2012
  Messages: 191
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  haswaa mkuu umenena
   
Loading...