Wadau nisaidieni ntakosa ajira

Wadau nisaidieni ntakosa ajira

Kilangi masanja

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
4,629
Reaction score
5,262
Habari zenu,naomba msaada wenu hasa enyi wataalamu wa teknolojia .birth certificate yangu na leaving certificate zina lamination ,na ninataka kutoa lamination ili nifanye yangu je ,stationary ya kawaida wanaweza nisaidia ikatoka ? wadau nisaidie
 
Habari zenu,naomba msaada wenu hasa enyi wataalamu wa teknolojia .birth certificate yangu na leaving certificate zina lamination ,na ninataka kutoa lamination ili nifanye yangu je ,stationary ya kawaida wanaweza nisaidia ikatoka ? [MENTION=16505]Chifu@mkwawa na wengine nisaidie

kufanya yako kwa maana ya kuchakachua vyeti?!funguka hapo kwanza halafu nikuitie wahusika.mwee!
 
impossible kaka maana cheti au karatasi ya cheti imeshikwa na gundi ya plastic ya lamination.toa plastic ua cheti.whatever z done ukishaweka lamination ndo kwaheri, cha kufanya,.scan cheti tafuta editing program ya kuconvert image kuwa document.. edit kama ni kuedit then print,.,all in all IT WONT BE THE SAME MKUU.,jus give up mjomba.
 
Tatizo ninini? Majina hayaendani? Tarehe/mwezi au mwaka wa kuzaliwa ndiyo haviendani? Au unataka umpatie na mdogo wako cheti cha shule ili aajiliwe? Anyway waone watu wa stationary wanaweza kukusaidia. Kuna jamaa mmoja aliwahi kufanikiwa kubandua cheti na kikatoka vizuri tu.
 
Back
Top Bottom