Elimu ya Captain John Komba ni kama ya Profesa Maji Marefu
Sema kwa kifupi "Hana Elimu".Elimu ya Captain John Komba ni kama ya Profesa Maji Marefu
NinaWasi2 na ufahamu wa
mambo wa komba unaotokana na kiwango chake cha elimu mbunge wa jimbo
mbinga magharibi. je komba katamati kiwango kipi cha elimu? au alipitia
ugambo then kaingia jkt kutokana na jipaji chake cha kuimba? nisaidieni
kwa mnaofahamu, kuna harakati za kumngoa kule jimboni kwetu.
Elimu ya Captain John Komba ni kama ya Profesa Maji Marefu
Kwani kuwa mbunge unahitaji kuwa na elimu gani? Unataka kusema ameghushi vyeti apate ubunge au?NinaWasi2 na ufahamu wa mambo wa komba unaotokana na kiwango chake cha elimu mbunge wa jimbo mbinga magharibi. je komba katamati kiwango kipi cha elimu? au alipitia ugambo then kaingia jkt kutokana na jipaji chake cha kuimba? nisaidieni kwa mnaofahamu, kuna harakati za kumngoa kule jimboni kwetu.
Kwani kuwa mbunge unahitaji kuwa na elimu gani? Unataka kusema ameghushi vyeti apate ubunge au?
ni jirani ye2, aliishia la nne la zamani
Kwani kuwa mbunge unahitaji kuwa na elimu gani? Unataka kusema ameghushi vyeti apate ubunge au?
Kuwa mbunge kupitia chadema
lazima uwe na elimu ila kwa kupitia CCM kama unajua tu kusoma na
kuandika kidogo unaruhusiwa kuwepo bungeni ili mradi unauwezo wa kutamka
ndiyoooooooooo na kupiga meza kesha unasinzia