Wadau Nisaidieni Kufahamu Elimu Ya Komba

YUDITHA

Senior Member
May 5, 2013
154
28
NinaWasi2 na ufahamu wa mambo wa komba unaotokana na kiwango chake cha elimu mbunge wa jimbo mbinga magharibi. je komba katamati kiwango kipi cha elimu? au alipitia ugambo then kaingia jkt kutokana na jipaji chake cha kuimba? nisaidieni kwa mnaofahamu, kuna harakati za kumngoa kule jimboni kwetu.
 
He was just a primry shool teacher and kwaya singer. Jeshini alichukuliwa kwa sababu ya kuimba kwaya
 
NinaWasi2 na ufahamu wa
mambo wa komba unaotokana na kiwango chake cha elimu mbunge wa jimbo
mbinga magharibi. je komba katamati kiwango kipi cha elimu? au alipitia
ugambo then kaingia jkt kutokana na jipaji chake cha kuimba? nisaidieni
kwa mnaofahamu, kuna harakati za kumngoa kule jimboni kwetu.

mi nahic ameishia had darasa la pili, ndio maana uwezo wake wa kufikir umekuwa mdogo, ye alijua bungen wanaenda kuimba.
 
NinaWasi2 na ufahamu wa mambo wa komba unaotokana na kiwango chake cha elimu mbunge wa jimbo mbinga magharibi. je komba katamati kiwango kipi cha elimu? au alipitia ugambo then kaingia jkt kutokana na jipaji chake cha kuimba? nisaidieni kwa mnaofahamu, kuna harakati za kumngoa kule jimboni kwetu.
Kwani kuwa mbunge unahitaji kuwa na elimu gani? Unataka kusema ameghushi vyeti apate ubunge au?
 
Alichana mbaya Form Four akachaguliwa Form Five Tosamaganga but hakwenda. Akaenda grade A, jeshini.
 
Kwani kuwa mbunge unahitaji kuwa na elimu gani? Unataka kusema ameghushi vyeti apate ubunge au?


Kuwa mbunge kupitia chadema lazima uwe na elimu ila kwa kupitia CCM kama unajua tu kusoma na kuandika kidogo unaruhusiwa kuwepo bungeni ili mradi unauwezo wa kutamka ndiyoooooooooo na kupiga meza kesha unasinzia
 
Huyu jamaa aliwahi kumfundisha kwaya mjomba wangu akiwa primary, yeye alikuwa Jkt mafinga. Mtaalam wa kwaya balaa, mambo ya mwenge, ujio wa viongo ndie alikuwa kwaya master
 
duh nyasa ndio maana hawaendelei kumbe chanzo wanaongozwa na mtu asiye na maono. nyasa oyeeeee.... IYENA IYENA......CCM NAMBA ONE. POOR kiongozi
 
Alikuwa mchinja kuku pale soko la stereo baadae walifukuzwa pale akaamia soko la kuku kisutu,hapo ndipo alichanga changa ela akanunua ngoma na kuhamasisha wachinja kuku wenzio wakaunda kundi wakaajiliwa kwenye bendi ya ccm,nyota ikaana kung'ara baadae akapewa ububunge viti maalumu njimbo la mbinga na gafla tukasikia kapata shahada ya utawala kupitia internet......sita akawa akimtangaza bungeni huku akicheka huyo ndie komba.....
 
Kuwa mbunge kupitia chadema
lazima uwe na elimu ila kwa kupitia CCM kama unajua tu kusoma na
kuandika kidogo unaruhusiwa kuwepo bungeni ili mradi unauwezo wa kutamka
ndiyoooooooooo na kupiga meza kesha unasinzia

kaka utafiti wako una ukwel ndan yake, coz hata jana wabunge walipokuwa wakichagua wajumbe wa sadc, nligundua hata lugha ya kigen ilikuwa haipandi kwa baadh ya wabunge.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom