Wadau nipokeeni.

Wadau nipokeeni.

Ruhita Jr

Member
Joined
Aug 23, 2011
Posts
41
Reaction score
1
Hellow, nawaomba mnipokee Jamvini, mie pia ni mwanaharakati mwenzenu. Naahidi ushirikiano. Aksanteni. 'Uzalendo kwanza'
 
Karibu sana, pita mpaka ndani lakini kama umekuja na umbea uache hapo nje.
 
Duh kumbe na wewe mjanja!! Karibu sana mku kwenye bunge la wajanja wenye akili.
 
Back
Top Bottom