mluhilamkuu
Member
- Dec 8, 2014
- 50
- 25
Wana Jamii Forums.
Nililima hekta kadhaa za Alovera huko Dodoma.Nimefanikiwa kuvuna magunia 370. Natafuta soko la bidhaa hiyo.Kila gunia lina ujazo wa madebe 10 nami nauza gunia kwa tsh 200,000 tu.
Anayeihaji.