Pole sana nini shida tueleze ili utue huo mzigo ulionao, naamini utakaa sawa kuleta tu hapa huu uzi ni njia moja wapo ya uponyaji wako na ungekuwa na nia kweli ya kujiua hata usingefika hapa ungefanya vitendo tu
Hapa umekuja kwaajili ya kupata faraja - tukusaidie namna ya kutatua hilo tatizo au changamoto yako karibu mkuu
Wewe ni wa Allah au ni wa Jehova(Mungu wa kweli) kama ni wa Allah kuna rungu kubwa kutoka mashariki mpaka magharibi linakusubiri,malaika wa Allah watakutandika nalo utazama mpaka ardhi ya saba kishq utachomolewa huko ardhini kuendelea kuteswa.
Unataka kutumia mbinu gani?
Sumu, Kitanzi au nakadhalika?
Nadhani njia rahisi itakua, Iseme vibaya serekali iliyopo madarakani.
Watakuteka then watakumaliza fasta sana.