Wadau nataka kuchukua Goli Kariakoo

malembeka18

JF-Expert Member
Jan 26, 2018
2,780
2,716
Wadau ushauri wenu nimepewa connection na ndugu yangu Kuna kigoli Kariakoo. Vipi wadau Sasa Kariakoo biashara kwa sasa ikoje nataka kuingia kuuza braa, chupi, tight za wadada za kuvaa na bana tumbo.

Napokea ushauri wenu wowote hata wa biashara mpya
 
Back
Top Bottom