kwamtoro
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 4,922
- 3,245
Rafiki yangu hapa ofisini, amekuja kuniomba ushauri leo. Jana alipo rudi home, alimkuta mke wake kwenye dimbwi la mwazoi. Majibu ya mke wake yalionyesha kunawalakini. Mida ya usiku alikagua simu ya mke wake. Alichokiona kilimfanya nusu apoteze fahamu.
Alikuta Sms kutoka kwa mwanamke ambaye ni mfanyakazi mwenzeke wa mke wake ofisini kwao ambazo zilikuwa zinamporomoshea matusi mke wake kwa kumchukulia bwana wake.
Katika upande wa sent akukuta sms hata moja, na hizo sms ziliingia pindi akiwa amefika pale nyumbani, simu ya mke wake ilikuwa silent. Akumuuliza mke wake kitu chochote mpaka sasa.
Anaomba ushauri kwa vitu vitatu.
Moja,Je akibaini mke wake mwenye watoto naye wawili amemsaliti, afanyaje?
Pili,Kwa hali aliyo mkuta nayo mke wake, inaonyesha dhairi shari mke wake anampenda jamaa wanaye mgombani. Kwa siku za karibuni mapenzi yamekuwa ya utata. Watengane?
Tatu, Aache kufuatilia kabisa ili bundi asiingie nyumbani kwake
Ushauri wangu wa kwanza nimemshauri achukue sick sheet ya siku mbili kwa dibwi la mawazo alilo nalo, kisha nikitoka kwa ofisi nitampigia simu, tukutane mahali tuongee. Naombeni ushauri ili nimshauri vyema.