Wadau naombeni msaada jinsi ya kuroot samsung

Attachments

  • Screenshot_20180710-001013.png
    Screenshot_20180710-001013.png
    22.7 KB · Views: 48
sina uhakika mkuu, unaweza kujaribu kingroot,
CHIEF natumia Edge 6 plus Model Sm g928v
Ipi itanifaa mimi??

Kuna mitangazo imeingia kwenye simu imekaa kama app kbsa ukiigusa inakupeleka playstore..Niki hold itokeee option ya kuzi unistall haztoki..na nikienda kule kwenye app manager sion ktu mkuu..Nlichowaza ni ku root na kuweka adway ad clear nk probably will work...

Msaada wako chief.
 
Umejaribu kwenda setting kisha security kisha device administrator kuna nini?
 
Naomba msaada mkuu wa kuroot hii sim----- Galaxy Note4 Android 6.0.1 Model No. SM-N910H
Model zote za samsung za kimataifa unatumia su binary za chainfire. Una pc? Unajua kutumia odin?
 
Umejaribu kwenda setting kisha security kisha device administrator kuna nini?
Nimeenda device Administrator Nimekuta kuna FIND MY DEVICE ambayo iko ON na kuna app ya MALWAREBYTES nayo iko ON pia.

Pamoja na kuinstal malwarebytes nkijua matangazo yatazuiliwa ku POP UP ila wapiii...Natumia simu mara Branch inatokea...mara naona vi app vimejiweka tena kwenye screen yani shda plus Kero.
 
Hio ni first step umefanikiwa, hapo ni kama umeua mkubwa wao ila wafuasi bado wapo

Sasa hivi nenda setting kisha apps anza kuziwinda hizo apps husika. Toa apps zote usizozijua
 
Shukran Sana chief...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom