Wadau naombeni msaada jinsi ya kuroot samsung

Poa ngoja nijaribu
nenda setting kisha about kisha software update.

ikikataa tafuta computer kisha download program inaitwa kies, connect simu na usb kisha tumia hio software ku update simu.
 
Chief mkwawa hivi kwann hii simu wameikea soc ya mediatek ila iko tofaut na simu xa mediatek nilizowah kutumia??
 
kulikuwa na tetesi kwamba samsung ata outsource production ya simu za bei rahisi kwa makampuni nyengine na yeye ajikite kwenye simu za bei ghali.

Samsung to outsource production of low-end devices, focus its own manufacturing plants on premium models

hizi tetesi inaonekana kama ni kweli maana signature ya simu za samsung ni soc za exynos na vioo vya amoled ila hizi simu za bei rahisi nyingi hazina hivyo vitu, wanatumia mediatek na spreadtrum.

kuhusu kuwa tofauti nafkiri ni hio user interface ndio unayoiona ni tofauti. charge inakaa vipi?
 
Chaji inakaa vizur sana ila kinachonishangaza nilidhan kutumia hii mediatek itakuwa slow sana kutokan na sim za nyum nilizowah kutumia nilikuwa nikiwek apps nying nying hata kam ina internal kybwa ya 16 gb ila lazim itakuwa slow ila hii imekuwa tofaut yani nimewek apps nying inawah kujaa sabb ni 4gb free space ila iko fast haikwami na wala haijawqh kuwa nzito
 
Na isitoshe ina 4g yani hapo imeniacha hoi kabisa
 
Chaji inakaa vizur sana ila kinachonishangaza nilidhan kutumia hii mediatek itakuwa slow sana kutokan na sim za nyum nilizowah kutumia nilikuwa nikiwek apps nying nying hata kam ina internal kybwa ya 16 gb ila lazim itakuwa slow ila hii imekuwa tofaut yani nimewek apps nying inawah kujaa sabb ni 4gb free space ila iko fast haikwami na wala haijawqh kuwa nzito

kuwa slow au fast inategemea na ram, cpu na software iliotumika.

-hio ni cpu ya cortex a53 pengine zamani ulitumia ya cortex a7
-ina ram 1.5GB tofauti na simu nyingi za bei hio zenye 1gb na 512mb
-pia siku hizi samsung wameipunguza uzito software yao ni nyepesi kiasi.

mediatek zipo zenye speed nyingi tu.
 
Mkuu mediatek za tecno hovyo sana na nimetumia simu zao ma.mara ya mwish nimetumia tecno c7 ina ram gb 2 na 16 internal ila haikuwa faster kam hii kuna jamaa yangu kanunua tecno k7 inamsumbua sana ni nzito mno na ni toleo jipy
 
mkuu zote ni quadcore cortex a53. gpu na cpu ni almost zinafanana. utofauti ni ram na software.

-Tecno software yao ina bloatware sana siku hizi. apps kibao zinakuja na simu.
-pia k7 ram yake ni 1gb tu compare na 1.5GB ya hio samsung.
 
Pamoja kaka ivi unaiyonaje j5 prime??
 
Nisha update naomba unielekeze namna ya kuamisha app kutoka cm kwnda memory card
 
Nilienda hapo ila aikubali hiyo link labda unitumie tena
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom