OkNinahitaji kuroot samsung yenye android 6.0.1 marshmallow nimejaribu kila app ya ku root imeshindikana naombeni mnipe ufaham nitumie njia gani ingine..naamini mtanisaidia
OkNinahitaji kuroot samsung yenye android 6.0.1 marshmallow nimejaribu kila app ya ku root imeshindikana naombeni mnipe ufaham nitumie njia gani ingine..naamini mtanisaidia
Samahan Chief nami nataka koroot yang ya J5 nifanye vp?Ok asante je unaweza nisaidia namna ya kuamisha app toka simu kwenda memory card
z2 unaweza downgrade lolipop na ku root na kingroot au fuata hii njiaChief sony z2 experia android v6. 1 naweza root kwa njia gani rahisi? Na sony xz v8 rooting yake ipo?
Mkuu najitahidi kuroot edge 6 plus inazingua/inagoma kabisa imekua protected, naweza tumia njia gani nyinginehapo ni kuflash recocery na super su tu, kama ni ngumu then vinavyofuatia baada ya root pia vitakuwa ni vigumu kwake.
Kama bado umeshindwa njoo ofisini na elfu nikufanyie kaziNinahitaji kuroot samsung yenye android 6.0.1 marshmallow nimejaribu kila app ya ku root imeshindikana naombeni mnipe ufaham nitumie njia gani ingine..naamini mtanisaidia
ni s6 edge ipi? angalia setting then about kuona model.Mkuu najitahidi kuroot edge 6 plus inazingua/inagoma kabisa imekua protected, naweza tumia njia gani nyingine
ni s6 edge ipi? angalia setting then about kuona model.
hio ni ya AT&T ina locked bootloader, hata ukiroot wakati wa kuwasha na kuzima itakuzingua tu.SM-G928A
Umetumia njia gan?SM-G928A
hio ni ya AT&T ina locked bootloader, hata ukiroot wakati wa kuwasha na kuzima itakuzingua tu.
Umetumia njia gan?
za kawaida hizi ukiweka tu ila program inaendaa ikiafika 80% inasema protected
nikajaribu ya usb ikazingua pia
Oem unlock ipo on kweny developer kule?
Chief Mkwawajina la hio simu? na model yake. nenda setting kisha about kuiona model
tumia njia hiiChief Mkwawa
Yangu mimi ni Samsung Galaxy S5 mini
Model number: SM-G800F
Android Version: 6.0.1
Cief Mkwawa.tumia njia hii
[Guide] Rooting G800F on Marshmallow 6.0.1 + getting Xposed framework
zinazoishiwa na F ni rahisi
Nimepata Burudan Kupitia Huu Mfano[emoji2] !unaona mwanzo wa simu yako. mafile na mafolder ambayo mwanzo ulikuwa huwezi kuyaona utayaona.
fikiria kama umeachiwa nyumba lakini umeruhusiwa kutumia jiko sebule choo na chumba kimoja tu, kuna vyumba vyengine vimefungwa huwezi ingia. kuroot ni kuvifungua hivyo vyumba na kuona vilivyomo ndani na kuvitumia kama unavyotaka. na sio kufungua vyumba tu utaweza pia kubadilisha waya za umeme, kuwachungulia watu waliolala vyumba vyengine, kubadili mabomba ya maji na umeme.
root ni panga linalokata kote kote, kama unafahamu unachofanya sawa hakuna neno, ila kama hujui unaweza fanya mambo na kuharibu ufanyaji kazi wa simu yako.
sina uhakika mkuu, unaweza kujaribu kingroot,Cief Mkwawa.
Sina PC, vp njia ya kawaida
Kama umefanikiwa kuroot hii simu niambie njia uliyotumiaHiyo apo chief-mkwawa![]()
![]()