Wadau naombeni msaada jinsi ya kuroot samsung

Wadau naombeni msaada jinsi ya kuroot samsung

numis

Senior Member
Joined
May 25, 2017
Posts
176
Reaction score
188
Ninahitaji kuroot samsung yenye android 6.0.1 marshmallow nimejaribu kila app ya ku root imeshindikana naombeni mnipe ufaham nitumie njia gani ingine..naamini mtanisaidia
 
jina la hio simu? na model yake. nenda setting kisha about kuiona model
Hiyo apo chief-mkwawa
c4178f933162505e6c309fddccfdb5da.jpg
6a4fa97759a5ed148c2f0840692bc8b2.jpg
 
Simu uki ROOT INAKUAJE
unaona mwanzo wa simu yako. mafile na mafolder ambayo mwanzo ulikuwa huwezi kuyaona utayaona.

fikiria kama umeachiwa nyumba lakini umeruhusiwa kutumia jiko sebule choo na chumba kimoja tu, kuna vyumba vyengine vimefungwa huwezi ingia. kuroot ni kuvifungua hivyo vyumba na kuona vilivyomo ndani na kuvitumia kama unavyotaka. na sio kufungua vyumba tu utaweza pia kubadilisha waya za umeme, kuwachungulia watu waliolala vyumba vyengine, kubadili mabomba ya maji na umeme.

root ni panga linalokata kote kote, kama unafahamu unachofanya sawa hakuna neno, ila kama hujui unaweza fanya mambo na kuharibu ufanyaji kazi wa simu yako.
 
Ok asante je unaweza nisaidia namna ya kuamisha app toka simu kwenda memory card
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom