yakeshipater
New Member
- Nov 27, 2013
- 2
- 0
Hivi ma DEO,taaluma,wakaguzi na wengineo wanateuliwa vipi?vigezo ni vipi?,na mamlaka ipi inahusika?,<tamisemi ama kwa kawambwa>?na vipi huwa wanapewa mafunzo ama semina?,mwenye ufahamu tafadhali.
Hivi ma DEO,taaluma,wakaguzi na wengineo wanateuliwa vipi?vigezo ni vipi?,na mamlaka ipi inahusika?,<tamisemi ama kwa kawambwa>?na vipi huwa wanapewa mafunzo ama semina?,mwenye ufahamu tafadhali.
anaweza akawa anakaimu tu si rahisi kwa vigezo vya sasa....Sisi hapa singida(v) DEO wetu ana certificate ila ni long experience.He he heee "Big Result Now"
Ye ni kuvaa suti tu!
refa with required skills and knowledge ndo inaleta raha....Siku hizi uwe na refa tu kijana utakula bata.
Akuna mtu anayeteuliwa kuwa Afisa elimu,bila degree,,walaka wa uteuzi unata mtu anayeteuliwa kuwa Afisa elimu ni lanzima awe ana shahada moja,na kuendelea,lakini pia uzoef kazin,,miaka ya kutosha tu,,,sio eti kwa kuwa umeripoti na shahada yako moja alafu unataka kuwa afisa!!!!ngumu!!!!piga kazi,,,hardwork pays,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,:A S 2152:
------- zenu mnataka vyeo wakati mmetoka chuo juzi na degree zenu za VODA FASTA. hao maDEO hata kama wana certificate ila wamehudhuria mafunzo kibao ya uongozi hasa ADEM BAGAMOYO. pia wamefundisha miaka mingi.