Wadau naombeni mnijuze ni kiwango gani cha elimu anastahili kuwa nacho DEO?

yakeshipater

New Member
Nov 27, 2013
2
0
Ninasikitika kuwa maafisa wa elimu wote wa manispaa ya Bukoba idara ya shule za msingi wana kiwango cha elimu ya diplama na wengine cheti, wakati wapo walimu tele walio na elimu kiwango cha degree 1 hadi 2 na wana uwezo mzuri wa kuongoza na kuboresha elimu lakini hawapewi nafasi hizo, na mbaya zaidi walimu wa shule za msingi wanapotaka kwenda kujiendeleza kimasomo wananyimwa ruhusa na wale wanaomaliza masomo hata ya diploma ya elimu ya msingi wanalazimishwa kuhamishiwa secondary tena bila malipo yoyote nia yao hawa viongozi ni kukwepa challenges watakazozipata kutoka kwa wasomi hawa. Naomba mnisaidie wadau kwa utaratibu huu tunaboresha elimu au tunabomoa?
 
yakeshipater

New Member
Nov 27, 2013
2
0
Ninasikitika kuwa maafisa wa elimu wote wa manispaa ya Bukoba idara ya shule za msingi wana kiwango cha elimu ya diplama na wengine cheti, wakati wapo walimu tele walio na elimu kiwango cha degree 1 hadi 2 na wana uwezo mzuri wa kuongoza na kuboresha elimu lakini hawapewi nafasi hizo, Naomba mnisaidie wadau kwa utaratibu huu tunaboresha elimu au tunabomoa?
 
Kimbori

JF-Expert Member
Feb 21, 2012
4,204
2,000
Hao wanaofanya kazi kwa mazoea ndiyo watakaochochea Matokeo Makubwa Sasa. ... Gari lilibeba Elimu linaendeshwa na vipofu.
 
Chatumkali

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
2,039
1,225
Hivi ma DEO,taaluma,wakaguzi na wengineo wanateuliwa vipi?vigezo ni vipi?,na mamlaka ipi inahusika?,<tamisemi ama kwa kawambwa>?na vipi huwa wanapewa mafunzo ama semina?,mwenye ufahamu tafadhali.
 
Brightman Jr

JF-Expert Member
Mar 22, 2009
1,227
1,250
Hivi ma DEO,taaluma,wakaguzi na wengineo wanateuliwa vipi?vigezo ni vipi?,na mamlaka ipi inahusika?,<tamisemi ama kwa kawambwa>?na vipi huwa wanapewa mafunzo ama semina?,mwenye ufahamu tafadhali.

Namiye nasubiria jibu hapa.
 
KG.KASELO

JF-Expert Member
Aug 14, 2013
252
195
Akuna mtu anayeteuliwa kuwa Afisa elimu,bila degree,,walaka wa uteuzi unata mtu anayeteuliwa kuwa Afisa elimu ni lanzima awe ana shahada moja,na kuendelea,lakini pia uzoef kazin,,miaka ya kutosha tu,,,sio eti kwa kuwa umeripoti na shahada yako moja alafu unataka kuwa afisa!!!!ngumu!!!!piga kazi,,,hardwork pays,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,:A S 2152:
 
Msingida

JF-Expert Member
Dec 1, 2010
6,953
2,000
Sisi hapa singida(v) DEO wetu ana certificate ila ni long experience.He he heee "Big Result Now"
Ye ni kuvaa suti tu!
 
SN.BARRY

JF-Expert Member
Oct 12, 2012
2,139
2,000
------- zenu mnataka vyeo wakati mmetoka chuo juzi na degree zenu za VODA FASTA. hao maDEO hata kama wana certificate ila wamehudhuria mafunzo kibao ya uongozi hasa ADEM BAGAMOYO. pia wamefundisha miaka mingi.
 
Kababi

Senior Member
Dec 24, 2010
168
0
Hivi ma DEO,taaluma,wakaguzi na wengineo wanateuliwa vipi?vigezo ni vipi?,na mamlaka ipi inahusika?,<tamisemi ama kwa kawambwa>?na vipi huwa wanapewa mafunzo ama semina?,mwenye ufahamu tafadhali.

Zamani ilikuwa ni uteuzi unatokea moja kwa moja wizarani kwa maana ya Wizara ya Elimu baada ya mambo kuwa chini ya TAMISEMI ukawa ni uteuzi kutoka TAMISEMI lakini kwa sasa pia kuna waraka mpya unaolekeza kwamba wakuu wa Idara za Halmashauri na Mkurugenzi ambao wamekaimu nafasi hizo kwa muda wa miezi sita na zaidi wanaweza wakapendezwa na Baraza la Madiwani wakapeleka majina TAMISEMI na TAMISEMI ikawapa barua za kuwadhibitisha kuwa wakuu wa idara husika.

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
conservative3

JF-Expert Member
Nov 12, 2013
1,001
2,000
km alikua mkuu wa idara kabla ya muongozo huwezi kumtoa unles with evidence ameprove failure.pia wanaohusika ni tamisemi wizara,halmashauri,wizara elimu,utumishi,hazina na pia tiss
ufaham uwe na miaka mitano hadi kumi kiwango cha chin kwenye nafasi ya utawala kwa ngaz yako.pia je kwa miaka iyo opras ujaze kila mwaka pia ufanisi wako kazini,pia usisahau koz ndogo ndogo na mengine mengi utapata udeo
 
conservative3

JF-Expert Member
Nov 12, 2013
1,001
2,000
shahada ya kwanza au tatupekee hazitoshi,uwezo binafsi wa kua msimamiz wa wengine na enzi zile walikua wanatrace kuanzia chuo cha ualim ila siku izi sijui
 
DZUDZUKU

JF-Expert Member
Nov 8, 2012
3,847
2,000
Akuna mtu anayeteuliwa kuwa Afisa elimu,bila degree,,walaka wa uteuzi unata mtu anayeteuliwa kuwa Afisa elimu ni lanzima awe ana shahada moja,na kuendelea,lakini pia uzoef kazin,,miaka ya kutosha tu,,,sio eti kwa kuwa umeripoti na shahada yako moja alafu unataka kuwa afisa!!!!ngumu!!!!piga kazi,,,hardwork pays,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,:A S 2152:

Umenena vema, kwa mujibu wa waraka wa elimu 1995 inataka viongozi katika ngazi zote za elemu kuwa na degee moja au zaidi na ni kuanzia ukuu wa shule ya msingi na kuendelea.
 
DZUDZUKU

JF-Expert Member
Nov 8, 2012
3,847
2,000
------- zenu mnataka vyeo wakati mmetoka chuo juzi na degree zenu za VODA FASTA. hao maDEO hata kama wana certificate ila wamehudhuria mafunzo kibao ya uongozi hasa ADEM BAGAMOYO. pia wamefundisha miaka mingi.

Kwani wahitimu wa degree wameanza lini?
Ina maana mpaka leo hawatoshi kushika nyadhifa mbalimbali? Au ndo kulindana?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom