Wadau naomba ushauri wa suluhisho la upungufu wa nguvu za kiume

NYUMBANITU

Member
Nov 21, 2016
15
12
Habari wana jamii forum,

Leo najitokeza kwenu wadau ili muweze kunisaidia tatizo nililonalo. Tatizo hili nimehangaika nalo mpaka nimekwama, so najua humu naweza kupata mtu aliyewahi kuwa na tatizo kama langu na pengine akapata suluhisho akaweza kunisaidia njia ipi alitumia.

Mimi ni miaka 29 sasa hivi na nina tatizo kubwa sana la upungufu wa nguvu za kiume, yaan ninaposema nina tatizo wadau mnielewe kuwa nina shida kwelikweli. Mimi uwezo wangu wa kusimamisha ni mdogo sana yaan hata unaweza kuwa na mwanamke ukawa unamchezea na possible mashine isisimame kabisa au kama itasimama basi ni kwa ulegelege sana yaani haikakamai au kuwa STIFF.

Na kama inatokea nikataka kufanya tendo basi haizidi dakika hata mbili nishakojoa na hapo sasa kuja kusimama tena ni shughuli inaweza ikachukua muda sana, au isisimame kabisa. Nimejaribu kula sana mitishamba ya kutosha lakini wapi, kuna cku nilienda hospitali but docta akanihoji tu hakunipima basi akaniandika dawa nikanunue inaitwa "weed goat and yohimbe " kama cjakosea ilikua doz ya mwezi mmoja but ckuona hata dalili za mabadiliko.

Hadi sasa nimegail kabisa hata kutongoza maana, kuna wadada kama watatu tofauti washanikimbia coz wanakuwa hawanielewi kabisa, anakuja home halafu anaishia kuchezewa tu. Wamekua hawanielewi kwa kweli japo nimekua nikificha asijue sababu. but kiukweli mimi mwenyewe naumia sana cna jinsi na umri unasogea hata mustakabali wa kuoa naona giza tu.

Naomba kwa dhati kabisa km kuna mwenye ufumbuzi wa tatizo langu au kuna mtu aliwah pata tatzo hili pleasez naomba mnisaidie mlitatua vip na km ni hospital ni hospital gani na hata jina la dactari km inawezekana. au km ni dactari ni mwanajamii basi nitashukuru kupata maelezo ya suluhisho.

kiukweli sina raha kabisa na maisha haya.
kwa unyenyekevu mkubwa naomba kuwasilisha kwenu wadau.
 
mkuu nakuhurumia,kiukweli sijui tiba kihospitali,ila weka namba yako ya simu,nitakupigia kwa ajili ya suluisho la kienyeji,la siku moja tu,ambapo utakuwa unapata starehe kama kawaida,kama tatizo hilo si la kuzaliwanalo huenda ni psychological basi utaendelea mpaka utakapokaa sawa,na kama ni la magonjwa ya sukari na moyo basi utawaona wahusika,madaktari ambao watakushauri.
 
Mkuuu yangu 06845553444
 
Kwa manufaaa na ya wana jamvi wengine wenye hilo tatizo au ambao wanaweza kujikuta wamepata hilo tatizo kwa siku zijazo, weka hapa tiba hiyo ya kienyeji unayo ifahamu wew...
 
kabla sijakushauri elezea kidogo kuhusu historia yako,umewahi kupiga punyeto,na mara ngapi kwa siku?
 
Kwanza kaka ungetoa historia yako kwa ufupi, tatizo hili limeanza kukusumbua kwa mda gani sasa, je ulikuwa mdau wa nyeto, vyakula unavyopendelea kula, unafanya mazoezi kwa kiwango gani, uhalisia wa kazi zako upo vp ie unafanya kazi ngumu sana au.......
 
Back
Top Bottom