Wadau naomba ushauri wa suluhisho la upungufu wa nguvu za kiume

Sawa kama unadhani nataka kumwibia. Maana kama angehitaji ningempa namba yake waongee naye mwenyewe. Huyo jamaa yupo kijijini anatibu hata mtu aliyezaliwa na unanithi.
Ni kuna MTU hata mimi nimekumbuka yuko Mkoani TANGA, ila anayemfahamu MTU huyo Yuko chuo cha polisi Moshi
kama hua unafany punyeto acha, fanya mazoez kam kucheza mpira, kaa kwa mda mrefu sana bila kusex ili akili itulie na hali ya kutojiamin iishe, penda kutafuna mihogo mibichi, karanga mbichi, kunywa maji mengi, nahis baada ya miez sita sex utaona changes.
 
Shukuru Mungu kwa hilo, unachokitaka ni stress tupu ya kiuchumi na kiafya.

Maana hata ukipona itabidi uje tena tukusaidie kutafuta mtaji, wadada hawashikiki bila mkwanja.

Unajua hili tatizo lilikuwepo toka enzi sema tu utandawazi ndo unakuza jambo hili.

Zamani mtu akibaini tatizo hili alkuwa anaoa ila anampa kaka au mdogo wake azae na mkewe na inabaki kuwa siri ya wanafamilia, na wanawake walikuwa waelewa.

Kwa sasa ukijaribu tu kila kijiwe na social network matangazo yatakuhusu.

Pole sana, tafuta mwanamke ambaye yuko busy na maisha, hao si wasumbufu ukipiga kimoja mbonji mpaka majogoo, lakini hivyo vitinda nyusi vitakuumbua sana mkuu.
 
Habari wana jamii forum, leo najitokeza kwanu wadau ili mweze kunisaidia tatizo nilonalo. Tatizo hili nimehangaika nalo mpaka nimekwama, so najua humu naweza pata mtu aliewahi kua na tatizo kama langu na pengine akapata suluhisho akaweza nisaidia njia ipi alitumia.

mimi ni miaka 29 sasa hv na ninatatizo kubwa sana la upungufu wa nguvu za kiume, yaan ninaposema ninatatizo wadau mnielewe kua ninashida kwelikweli. mimi uwezo wangu wa kusimamisha ni mdogo sana yaan hata unaweza kua na mwanamke ukawa unamchezea na possible mashine isisimame kabisa au kama itasimama basi ni kwa ulegelege sana yaani haikakamai au kua STIFF.
Na kama inatokea nikataka kufanya tendo basi haizizi dakika hata mbili nishakojoa na hapo sasa kuja kusimama tena ni shuhuli inaweza ikachukua mda sana, au isisimame kabisa. nimejaribu kula sana mitishamba ya kutosha lakini wapi, kuna cku nilienda hospitali but docta akanihoji tu hakunipima basi akaniandika dawa nikanunue inaitwa "weed goat and yohimbe " kama cjakosea ilikua doz ya mwezi mmoja but ckuona hata dalili za mabadiliko.

Hadi sasa nimegail kabisa hata kutongoza mana, kuna wadada kama watatu tofauti washanikimbia coz wanakua hawanielewi kabisa, anakuja home hafu anaishia kuchezewa tu. wamekua hawanielewi kwa kweli japo nimekua nikificha asijue sababu. but kiukweli mimi mwenyewe naumia sana cna jinsi na umri unasogea hata mustakabali wa kuoa naona giza tu.

Naomba kwa dhati kabisa km kuna mwenye ufumbuzi wa tatizo langu au kuna mtu aliwah pata tatzo hili pliz naomba mnisaidie mlitatua vip na km ni hospital ni hospital gani na hata jina la dactari km inawezekana. au km ni dactari ni mwanajamii basi nitashukuru kupata maelezo ya suluhisho. kiukweli sina raha kabisa na naisha haya.
kwa unyenyekevu mkubwa naomba kuwasilisha kwenu wadau.
Kuna askari yuko chuo cha polisi ana school mate wake anajua ya miti shamba ni huko Tanga.
 
Kuna watu wanakupuuza lakini ukweli wapo wanaoteseka kwa kukaa kimya.Kwakua namba yako umeiweka hapa nitàkupa namba ya bibi mmoja yupo Sumbawanga vijijini ambaye alimtibu kaka yangu tatizo kama lako na tiba ilikua ni siku moja tu hadi leo anapiga mechi namba 9 mzuri sana hadi kipa anakimbia box wakati zamani alianza kuambiwa na mkewe "unatatizo gani mbona siku hizi huwezi?", kauli hiyo ndiyo iliyomfanya atafute tiba.Kaka nakuapia ukienda kutibiwa utakuja huku kuleta feedback ili wasioamini wafumbuke macho,achana na madawa ya kwenye matangazo na michanganyiko isiyokuletea jibu la hitaji lako na HAKUNA GHARAMA sana sana utalipa kama sio 5,000/= basi ni 10,000/=
 
Mkuu umenena vema sana.
 
Kunywa Ciproflaxasin 1*2. Itamaliza tatizo lote. Choo ni kichafu,ndo mana inakuwa hivyo.
 
Sawa kama unadhani nataka kumwibia.

Maana kama angehitaji ningempa namba yake waongee naye
mwenyewe. Huyo jamaa yupo kijijini anatibu hata mtu aliyezaliwa na unanithi.
Wewe umejuaje amewahi kukutibu?
 
Kuna watu wanakupuuza lakini ukweli wapo wanaoteseka kwa kukaa kimya.Kwakua namba yako umeiweka hapa nitàkupa namba ya bibi mmoja yupo Sumbawanga vijijini ambaye alimtibu kaka yangu tatizo kama lako na tiba ilikua ni siku moja tu hadi leo anapiga mechi namba 9 mzuri sana hadi kipa anakimbia box wakati zamani alianza kuambiwa na mkewe "unatatizo gani mbona siku hizi huwezi?", kauli hiyo ndiyo iliyomfanya atafute tiba.Kaka nakuapia ukienda kutibiwa utakuja huku kuleta feedback ili wasioamini wafumbuke macho,achana na madawa ya kwenye matangazo na michanganyiko isiyokuletea jibu la hitaji lako na HAKUNA GHARAMA sana sana utalipa kama sio 5,000/= basi ni 10,000/=

namba yangu sijaiweka bado hio ni ya mdau nadhani alikua anaitoa. unamawasiliano naye huyo bibi? bdo nataman nipate mdau aliewah pata au anajua suluhisho la hospitalini kwanza mana miti shamba nimekula sana nishamaliza mpunga mwingi sana
 
wadau naendelea kusubiri michango na ushaur toka kwenu, mkipata muda nawaomba endeleeni kutupia nitakuwepo online kesho jion to see your feedback, i seriously need a solution to this problem.
 
namba yangu sijaiweka bado hio ni ya mdau nadhani alikua anaitoa. unamawasiliano naye huyo bibi? bdo nataman nipate mdau aliewah pata au anajua suluhisho la hospitalini kwanza mana miti shamba nimekula sana nishamaliza mpunga mwingi sana
Mkuu nina ongea vitu vyenye uhakika ndio maana nikasema takupa namba ya bibi huyo sio hadithi za mitaani.
 
kaka, mimi c doctor ila napendag sana kfatilia elimu za uzazi, mi nazani tiba ya kwanza apo ni kujua sabab za wewe kua ivyo maana upungufu wa nguvu za hauji tu ivi ivi, ivyo km ulikua unapga pnyeto basi tatizo ltakua lmeanzia apo

Hivyo tiba ya kwanz n kuacha iyo pnyeto ingaw ni kazi ngumu sana kuiach iyo ktu, anza kw kupunguza idad y kuipiga kw cku na km ulkua untumia sabuni basi acha sabun na piga kav kav maana ya kavu kav inaathili taratibu kuliko ya sabun sabab sabun zna chemical hatar, kwkawaida punyeto ina effects mbjli, 1 physical na 2 mental.

1. PHYSICAL. inaregeza misuli ya uume ivyo kufanya misur isiwe tait na kuifazi damu wakati uume unasimama maana ili uume usimame imara n kw mda ni lazima damu iliyosukumwa ktk uume isitoke kurud ktk mwil, ivyo misur ikilegea inashndwa kuifazi damu isirejee mwilin.

2. MENTAL. pia master inaathil akili na kufanya upoteze kujiamin na uone iyo ninjia rahis kumgegeda msichna yyote umpendae maan katk pnyeto unaweza kumvutia hisia mwanamke yeyote na kujiona ukimgegeda mpaka unakojoa ,

hvyo iyo ukufany uwe tegemez w punyeto na usione umuhimu wa kusex kiukweli maan we ukimtaman tu mwnamke unakimbilie ndan au choon n kumvutia hisia na unakojoa. pia ukufanya uwe na hofu na kujiona huwez kumlizsha, jua kua ili uume usimame imara wkat w tendo ni lazima akili yako iwe imara na uamin kua utamsugua mpaka aione pepo hvyo km hutojiamin bas na uume hautkya imara sabbu ya was wasi wko.

USHAURI.
acha pnyeto km nlvyoelzea apo juu.
fanya mazoez ya mwil kiujumla hasa ya kukimbia n ata pushapu au kchura chura mara kw mara, pia kna zoez l kuimalisha msur w PC yaan huu msur ulioko hku chin y pmbu unatokea kwny njia y aja kubwa unakuja mpka kwnye uume ,

uo ndio kila ktu kw mwanaume, ukiimarka uo bac uume utasmama km simba na utkua unaongzeka ukubwa km uume wko ulkua mdogo, ndio ilo zoez la kengel (cjui vzr jna lke) ambalo mdau apo juu alilsema. ili lnfanywa kw aina nying, ukiend kkojoa choon kua unauruhusu mkojo kidogo alaf unauzuia km seknd 10, ksha unauruhus tn kdgo ksha unauzuia tn kw sknd 10, fanya ivyo mpka mkoj uishe n kla unpkojoa fny stail iyo iyo.

njia nyengne n kua unabana msuri km unajzuia kkojoa kw seknd 10 au 15 alaf unaulegeza kw sekund 10, unfny tna ivyo ivyo angalau mala 20, na kw cku ata mara 3 ukpnd 4,5,6 yan uwzavyo

(NOTE:
usibane matako unapbana uu msuri). na hili unawz kfnya popote at kwnye dala dala maana hkna mtu atkaejua. pia ukiw ndan kwko fany km unausimamish uume ila c kwkuushka, fny ivyo mar kw mara hii pia uimalisha uume. pia kbla y kulala kanda uume wko taratbu kw maji au mafta y uvugu vugu kw ktambaa ksafi uwe km unauchua ila usifke kwny kchwa maan unawz kkojoa n iyo utkua km umpga nyeto,

fany ivyo kila sku kabl n baad y kulala hakika utajshangaa cku ad cku n kujiamin ktaanz kuja, pia kunywa maj meng kw siku, usisubili mpaka kiu kiume jtaid unywe at lita 4 au 5 hii itafanya msukumo w dam uwe sahii n damu ndo tba y uume!, pia kula matund na mboga za majan, tumia tangawiz iwe kw chai au ktafuna au kumeza vpand vpand, iyo ni njia nafuu maan hain gharama na ya uhakika,

nakuhakikishia utajshangaa kw jinsi utkavyokua unasimama km ngongot n utawakojolea hata gor 4 za nguvu, ila kumbuka utundu n muhimu, maan bla utund n ufund utkua unawaumiza tu. km kn kngne nmekiacha muniaidie, pia unipe mrejesho. (najua kna herufi nmezkosea ivyo msijshaue kunkosoa bali elewen somo)
Asant
 
Kweli dunia pana. Wengine tunatamani uume ulale wengine wanatamani usimike 24/7 tutafika kweli?? Badala ya kuwaza mambo ya fweza unajidhalilisha humu kuweka namba za sm??
Ushauri; Tafuta fweza kwanza, ulale na ka laki moja mfukoni mwezi mmoja kama hutakuja hapa jf kuomba mawazo yetu. Mwanaume kama huna mihela mfukoni ni stress tupu hata angekuja miss world huna ham naye. Punguza stress, usiwaogope hao wanawake, tena achana na vijisichana vitakusumbua na "sitaki nataka" masaa kibao ukijampanda unajikuta mbegu zishafika getini. Nenda kwa wauzaji ujinunulie umtakaye kama mara tano hivi tiyari ujasiri unakurudia uendelee na hao wa skuli wakukuliza masaa
Ushauri wako mzuri sana ingawa umeanza kwa kumkatisha tamaa. Kwa mwanaume kujiamini ni kitu muhimu sana. Hata mimi nikiwa siba chapaa mfukoni mashine yangu huwa haina ujanja. Lakini zikinitembelea nakuwa kiboro dinda.
 
Tatizo la kuto simamisha halina mahusiano na nyeto kabisa
Hayo n maoni yangu km wewe n chaputa ondoa mawazo hiyo sio sababu ya kupungukiwa nguvu
 
Ushauri wako mzuri sana ingawa umeanza kwa kumkatisha tamaa. Kwa mwanaume kujiamini ni kitu muhimu sana. Hata mimi nikiwa siba chapaa mfukoni mashine yangu huwa haina ujanja. Lakini zikinitembelea nakuwa kiboro dinda.

Mkuu incubu;
Nashindwa kusoma baadhi ya ushauri wa jf. Mtu anakuambia ukabugie midawa ya kienyeji isokuwa hata na kipimo wala utafiti. Kila mtu hukutwa na madhaifu kutokana na alivyo umbwa na Maulana.
Wengi huwa ni stress tu. Dunia la leo, huna fweza weye baasi, kwenda zako tu. Hakuna mwenye roho ya kumsaidia mwingine. Stress zza chakula, stress za usafiri stress za madeni. Utawaza vingapi?? Huku tena stress za kumfikisha kilele wapi na wapi.
Ndo maana nkampa makavu live tu. Sina ubaya naye. Sitaki akanywe mitishamba huko kumbe tiba ni mfukoni tu
 
Back
Top Bottom