Wadau nahisi nimeibiwa

JoJiPoJi

JF-Expert Member
Aug 8, 2009
2,907
3,261
heshima kwenu wadau,
wakuu wiki moja sasa imepita tangu nitume pesa kwenda nchini China kwenda kwenye kampuni noja inayodeal na bidhaa za computer, hii company inaitwa New Way Trade Co,. Ltd na wanatumia web www.newwaytrade.com lakini tangu nikamilishe process za kutuma pesa kwa njia ya TT sipati tena mawasiliano na hawa jamaa, wadau kama kuna mtu mwenye data zaidi kuhusu hii kampuni, ,maana nahisi tayari nimeshaibiwa.
 
Kaka matapeli wengi siku hizi! Kama una mtu China Muombe afuatilie in details uhalisia wa hiyo kampuni
 
Pole mkuu lakini serikali ili waonya hivi karibuni kuweni makini na matapeli katika kipindi hiki cha mdororo.
 
heshima kwenu wadau,

wakuu wiki moja sasa imepita tangu nitume pesa kwenda nchini China kwenda kwenye kampuni noja inayodeal na bidhaa za computer, hii company inaitwa New Way Trade Co,. Ltd na wanatumia web www.newwaytrade.com lakini tangu nikamilishe process za kutuma pesa kwa njia ya TT sipati tena mawasiliano na hawa jamaa, wadau kama kuna mtu mwenye data zaidi kuhusu hii kampuni, ,maana nahisi tayari nimeshaibiwa.

Namna rahisi ya kukusaidia nawe pia unapaswa kuwaambia wadau how you got to come accross with them before starting business terms? The one who informed you about the existence of the company is the one in a good state to rescue the situation.
 
duh! acha nipeleke hili jina la website kwa mganga wa kienyeji atusaidie. hapa inabidi tuwe sirias.
 
heshima kwenu wadau,

wakuu wiki moja sasa imepita tangu nitume pesa kwenda nchini China kwenda kwenye kampuni noja inayodeal na bidhaa za computer, hii company inaitwa New Way Trade Co,. Ltd na wanatumia web www.newwaytrade.com lakini tangu nikamilishe process za kutuma pesa kwa njia ya TT sipati tena mawasiliano na hawa jamaa, wadau kama kuna mtu mwenye data zaidi kuhusu hii kampuni, ,maana nahisi tayari nimeshaibiwa.

Vuta subira kidogo na zikipita wiki 2 bila majibu yoyote toka kwao waweza kwenda kwenye benki uliyotumia kutuma pesa kuwaomba wakusaidie ku-trace kampuni na kurudisha pesa zako. Maana kampuni lina tovuti na anuani na namba za simu kwahiyo ni rahisi kuwapata.
 
heshima kwenu wadau,
wakuu wiki moja sasa imepita tangu nitume pesa kwenda nchini China kwenda kwenye kampuni noja inayodeal na bidhaa za computer, hii company inaitwa New Way Trade Co,. Ltd na wanatumia web www.newwaytrade.com lakini tangu nikamilishe process za kutuma pesa kwa njia ya TT sipati tena mawasiliano na hawa jamaa, wadau kama kuna mtu mwenye data zaidi kuhusu hii kampuni, ,maana nahisi tayari nimeshaibiwa.

Nd. JoJiPoJi,
Usiwe na wasiwasi hata kidogo. Kama unazo-contact kamili zao na receipt ya bank ya hio remittance, basi tutawapata tu hao.
Wagagagigikoko wanayo ofisi yao ndogo kule na nishazungumza nao na watasaidia, lakini ngojea at least wiki 2 zipite.
Kila la kheri na pole sana Mkuu.
 
you must be crazier than you think!!! ule matandao mbona E-mail za yahoo na hotmail ndo zimetawala?
Kama if they were serious they could use their own E-mail adresses, na sio za yahoo na hotmail. gor whar am saying??
In short you are done!!!
 
In short you are done!!![/QUOTE]

Kwahiyo?????
huna msaada mwingine wa kumsaidia???? vyema ungekaa kimya tu!
 
you must be crazier than you think!!! ule matandao mbona E-mail za yahoo na hotmail ndo zimetawala?
Kama if they were serious they could use their own E-mail adresses, na sio za yahoo na hotmail. gor whar am saying??
In short you are done!!!

........................??
 
Ni vizuri kuulizia uhakika wa kampuni mbalimbali za kufanya nao biashara kabla ya kujitosa. Mimi ninafanya biashara na Wachina kwa miaka mitatu sasa, na nina contacts nzuri sana huko ambao wanaweza ku verify kampuni mbalimbali, au hata naweza kukuelekeza kutuia kampuni zipi kwa shughuli zako. Nadhani pia kuna wengine humu jamvini ambao wanaweza kufanya hivyo. Hata hivyo, kama walivyosema wengine, wiki mbili ni chache mno kusema kuwa umeliwa, kwa vile ulifanya TT ambayo kwa kawaida (at least huku nilipo) inachukua wiki moja hivi mpaka wao huko wazione hizo pesa ulizotuma kwenye account yao
 
you must be crazier than you think!!! ule matandao mbona E-mail za yahoo na hotmail ndo zimetawala?
Kama if they were serious they could use their own E-mail adresses, na sio za yahoo na hotmail. gor whar am saying??
In short you are done!!!

haha pls vivian hiyo final sentensi itamuua jojipoji maana nahisi atakua na presha ya kushuka......lol.....
.......anyway all the best i dont wish u to be done in that way.
 
wadau jamaa amenitumia mail kuwa niwe na subra bado wanaandaa mzigo, ila bado sina amani kabisa
 
Back
Top Bottom