N Nyakwaratony JF-Expert Member Joined Dec 21, 2011 Posts 573 Reaction score 140 Apr 14, 2012 #1 nipo kwenye harusi flani MC (msema chochote) katangaza kuwa kama umeishiwa vocha kuna mtu anarusha.... AMA KWELI AKILI NI NYWELE KILA MTU ANA ZAKE!!!!
nipo kwenye harusi flani MC (msema chochote) katangaza kuwa kama umeishiwa vocha kuna mtu anarusha.... AMA KWELI AKILI NI NYWELE KILA MTU ANA ZAKE!!!!
S sithole JF-Expert Member Joined Mar 13, 2012 Posts 306 Reaction score 116 Apr 14, 2012 #2 kwan akiishiwa vocha nayo ni habari?
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 64,283 Reaction score 98,884 Apr 14, 2012 #3 tiGO rusha??
N Nyakwaratony JF-Expert Member Joined Dec 21, 2011 Posts 573 Reaction score 140 Apr 14, 2012 Thread starter #4 King Kong III said: tiGO rusha?? Click to expand... voda fasta!
Kingmairo JF-Expert Member Joined Apr 7, 2012 Posts 4,936 Reaction score 3,549 Apr 14, 2012 #5 Bila shaka MC tilly umeinyaka hiyo!