Hamza gugo
Member
- Oct 20, 2019
- 12
- 3
Ipi kozi nzuri yenye uwanja mkubwa wa kujiajiri na kuajiriwa? Nataka niapply mwakani kati ya Clinical Medicine na Biomedical Equipment Engineer
Naomba ushauri wenu wadau.

Subiri matokeo yatoke kwanza