Wadau msaada wenu katika kuchagua kozi

Hamza gugo

Member
Oct 20, 2019
12
3
Ipi kozi nzuri yenye uwanja mkubwa wa kujiajiri na kuajiriwa? Nataka niapply mwakani kati ya Clinical Medicine na Biomedical Equipment Engineer

Naomba ushauri wenu wadau.
 
Clinical medicine hutalala njaa hiyo nyingine nzuri lakini ajira chache
Ipi kozi nzuri yenye uwanja mkubwa wa kujiajiri na kuajiriwa? Nataka niapply mwakani kati ya Clinical Medicine na Biomedical Equipment Engineer

Naomba ushauri wenu wadau.
 
Back
Top Bottom