Wadau,msaada tbc vipi?

Wadau,msaada tbc vipi?

nictbb

Senior Member
Joined
May 18, 2012
Posts
119
Reaction score
9
Asallam alaykhum ndugu zangu,jamani vp wenzangu,siipati tbc kabisaa,natumia eurostar 6ft dish,strong receiver SRT 4653X,nyingine zoote nazipata,kuna nn wenzangu na nn nifanye
 
humu hakuna mtu anayeangaliaga tbc ,labda nenda facebook ndio utapat msaada ,
 
Nunua dishi kubwa hiyo kitu iko hewani au subiri mpaka siku signal zikipanda
 
ckulaumu,ni uwezo wako wa kufikiri umefika mwisho,kaa kimya,wanaofaham watajibu
 
ndugu yangu,nlishasema hcho kidudwana kama si kikaragosi cnunui ng'ooooooooooooooooooooo,utumbo wake waanzaga saa mbili uxcu,naeza kivunja cku hiyo hiyo
 
Kama unatumia Receiver ya mpeg4 unaweza kuipata kwa kupitia Ku-band degree 36E kiulaiini najua unataka kuangalia bunge kaka. Tofauti na hapo tafuta dish kubwa ft8 na kuendelea.
 
Kama unatumia Receiver ya mpeg4 unaweza kuipata kwa kupitia Ku-band degree 36E kiulaiini najua unataka kuangalia bunge kaka. Tofauti na hapo tafuta dish kubwa ft8 na kuendelea.

DISH LA KU LA 90cm unaweza kuipata 36E? Na je kuna chnls zipi kwa ujumla ambazo ni FTA? Tafadhali nijuze. Natanguliza shukurani.
 
DISH LA KU LA 90cm unaweza kuipata 36E? Na je kuna chnls zipi kwa ujumla ambazo ni FTA? Tafadhali nijuze. Natanguliza shukurani.

Unaweza kupata ila channel nzuri huwa zinafungwa kama TBC1,CNN,Chten,ALjazeera hizi ziko kwenye TING.FTA za muda wote ni za Kifaransa.
 
Asallam alaykhum ndugu zangu,jamani vp wenzangu,siipati tbc kabisaa,natumia eurostar 6ft dish,strong receiver SRT 4653X,nyingine zoote nazipata,kuna nn wenzangu na nn nifanye

Mkuu kama unataka ni bunge muone nyondoloja utapata kupitia fut6
 
Last edited by a moderator:
Mkiambiwa kuwa hatutaonyesha bunge live mtapiga mayowe sasa kitu kimepigwa kiufundi zaidi ngoja uone bunge likiisha tu kitu kitakuwa hewani.
 
Asallam alaykhum ndugu zangu,jamani vp wenzangu,siipati tbc kabisaa,natumia eurostar 6ft dish,strong receiver SRT 4653X,nyingine zoote nazipata,kuna nn wenzangu na nn nifanye


Kaka ni kweli TBC haipatikani kwa muda sasa kwenye Dish. Lakini tafuta fundi akuwekee frequency mpya maana wamebadilisha.
 
Kaka ni kweli TBC haipatikani kwa muda sasa kwenye Dish. Lakini tafuta fundi akuwekee frequency mpya maana wamebadilisha.

TBC inapatikana ila signal wamepunguza lakini frequency ni zilezile ukiwa na dish la ft8 unaipata bila matatizo hakuna haja ya kutafuta fundi.
 
Mimi natumia reciver ya eurostar pamoja mediacom 930plus kwa hii ya eurostar Tbc naipata bila shida ila mediacom siipati kabisa kwa dish la ft6.
 
Tbc frequency zilezileeee! Wala hazijabadilishwa zipo receiver zenye nguvu kama ShineStar HSR 2090A na SH 2090B zina power ni balaa
 
wadau sasa nimeamua kitu,nataka niikomeshe hii tbc,hivi ni dsh gani zuri la ft 8 mesh au solid na pale kkoo ntalipata duka gani na kiasi gani?na pia nataka na receiver mpeg-4 ya bei ya wastani,je ni aina gani na tsh ngapi pale kkoo na duka gani jamani?pia nataka nipate na channel za kenya kiufasaha,je zapatikana kirahisi katika satellite gani kati ya hizi,intelsat 22 @ 72'E au eutelsat 10 @ 10'E,ntashukuru sana sana wadau
 
Mimi kwangu fundi alikuja akabadilisha frequency, na mimi si fundi hivyo sizifahamu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom