Wadau naomba ufafanuzi wa Mazda Tribute

Mneneey

Member
Sep 1, 2018
11
8
Je, ni gari yenye matatizo gani? Ulaji wa mafuta, upatikanaji wa speya, anatembea vzuri kwny barabara zetu? Kwa used bei zake kwa madafu zinarange vipi?

Naomba msaada, nimeona mtandao nikaipenda naazimia kununua so mawazo yenu yatakuwa ya msaada sana.

1593803161079.png

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mazda sio gari nzuri, kuanzia kwenye engine yake imekaa ki luxury haiwezi kupambana na mazingira magumu, Body yake nyepesi kuchakaa na kubonyea.

Kuhusu vipuri utapata tabu wauzaji wengi wa spare wanaweka spare za magari yaliyomengi barabarani mfano Toyota so kuwa makini ila nenda kaichunguze vizuri haya ni maoni tu.

'HOW MUCH IS TOO MUCH?'
 
Mazda sio gari nzuri, kuanzia kwenye engine yake imekaa ki luxury haiwezi kupambana na mazingira magumu, Body yake nyepesi kuchakaa na kubonyea....
Kuhusu vipuri utapata tabu wauzaji wengi wa spare wanaweka spare za magari yaliyomengi barabarani mfano Toyota so kuwa makini ila nenda kaichunguze vizuri haya ni maoni tu

'HOW MUCH IS TOO MUCH?'
Chief kama hivyo Mazda yako si uliiuza kwa bei ya chini sana au bado unayo?
 
Kuna mtu alinambiaga Mazda huku bongo ni pasua kichwa ila nchi kama DRC ndiyo mwake
 
Back
Top Bottom