wadau msaada kwa mwenye join ya josiahkibira university | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wadau msaada kwa mwenye join ya josiahkibira university

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by kinota, Sep 10, 2012.

 1. k

  kinota Member

  #1
  Sep 10, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 41
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  najaribu kufungua web yao hata haifunguki hivyo naomba kwa aliyonayo ,nawakilisha wakuu
   
 2. K

  Kiny JF-Expert Member

  #2
  Sep 10, 2012
  Joined: Sep 3, 2012
  Messages: 276
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Ingia web hii www.josiakibira.ac.tz ikifungua utaona neno mission and vision angalia upande wa kulia wa home yao kuna link zinapita angalia sehemu ya prospectus then download angalia ukurasa wa 4/5 pia ktk hizo link kuna medical form chuo chenyewe kinafungua th. 7 october kuna jingine?
   
 3. K

  Kiny JF-Expert Member

  #3
  Sep 10, 2012
  Joined: Sep 3, 2012
  Messages: 276
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Ingia web hii www.josiakibira.ac.tz ikifungua utaona neno mission and vision angalia upande wa kulia wa home yao kuna link zinapita angalia sehemu ya prospectus then download angalia ukurasa wa 4/5 pia ktk hizo link kuna medical form chuo chenyewe kinafungua th. 7 october kuna jingine mkuu? Mafanikio mema.
   
 4. k

  kinota Member

  #4
  Sep 10, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 41
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  asante sana mkuu
   
 5. Wkaijage

  Wkaijage Senior Member

  #5
  Sep 11, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 192
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kumbe na josiah k. Tupo!
   
Loading...