wadau mpoo?

wadau mpoo?

Joeli

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2011
Posts
4,941
Reaction score
3,414
nilikuwa natengeneza tovuti kuongeza maarifa, so moja ya friends alipoiona akadai inaweza kugeuzwa kuwa profit making badala ya kuifanya kiutani...

guys hebu pitieni

Mtaa Wa Saba Classified Ads

is it useful?

kama kuna mtu atavutiwa naweza work nae ani PM, mie nifanye technical support, yeye afanye kuisimamia,

Maoni, maswali, chochote kile...
 
Wewe Moderator Mkali C6 Umejifunzia wapi mambo haya?nitakutafuta unitengenezee Blog yangu inayohusu mambo ya Tiba na Biashara asante mkali weeeeeeeeeeeeeeee MtotoSix
 
Last edited by a moderator:
Binafsi nimevutiwa kwa kweli hasa ile part ya kuprint maana shopping sites za hapa nyumbani hiyi kitu sijaiona kwa sana, kitu kingine weka full details za product na Seller,
Site kwa ujumla iko poa but (MGEMA AKISIFIWA …………) kaza buti mkuu you can do more than that. Good Lucky
 
Mimi si mtaalamu wa mambo haya C6, but i can see your creativeness. Keep moving buddy.
 
halafu mkuu C6 hiyo price range nadhani ungeiondoa tu...sidhani kama ina umuhimu sana.
 
Last edited by a moderator:
yah website imetulia mkubwa six lakini kama wadau wanavosema website yenyewe sio ishu maana zipo nyingi ishu ni content

Kama ni ushauri mi nakushauri we kua mmiliki wa website tafuta duka kubwa la electronics au hata maduka feed vitu vyao then wanakupa coupons au punguzo hao wenye maduka mtu akinunua kitu toka website yako wanampunguzia. Then wao wenye maduka watakulipa kwa kila bidhaa i think kwa style hii mtafaidika wote
 
Back
Top Bottom