Wadau mnaishije na ndugu?

Undugu ni kazi sana fanya unachokiweza usichokiweza kiache kikae kama kilivyo.
 
Hadithi njoo uwongo njoo utamu kolea
Inawezekana wewe umepitia maisha mazuri shukuru mungu ndiomaana unasema uongo sinahaja ya kusema uongo ili nipate ninini.

Siwezi kukulazimisha kuamini nilichosimulia .Shukuru sana umetokea familia bora tambua kuna watu wanapitia magumu zaidi yangu sema hawasimulii
Hadithi njoo uwongo njoo utamu kolea
 
Yan unamkopea na marejesho unarudisha wewe? Kheri nusu shari, kataa.
Ni kweli hapa alibugi ilibidi arejeshe aliyepewa mkopo (kaka) na kama wangekubaliana hivyo kaka angekuwa na discipline.

Hii ilishawahi kutokea nilikuwa nina plan ya kumsaidia ndugu yangu mmoja nikampa 10m ila nikamwambia ninamkopesha ila lengo lilikuwa kumpa nikahisi anaweza kuimisuse.

Hivyo nikamwambia nimemkopesha na nikampa muda wa miaka 2 anirejeshee, nikaweka baadhi ya ndugu kama mashahidi. Kweli baada ya miaka miwili akanirejeshea, nikawaita wale ndugu walioshuhudia na nikamwambia sikuwa na lengo la kumkopesha bali niliplan kumpa ila nilikuwa na wasiwasi anaweza kuitumia vibaya.

Nikamwambia aongeze kwenye mzunguko wa biashara yake. Kwakweli alishukuru sana na sasa anafanya vizuri ameanza kwenda China mwenyewe.
 
Daah hongera kwa mapambano ...ila kka yako huyo atakurudisha Nyuma acha kumchukulia mkopo mwache nae apambane kiume ..life is war!
 
Acha utoto kumbuka na wewe unafamilia inayokutegemea, siku zote mtu huumizwa na kitu asichokijuwa sasa wewe unateswa na unachokijuwa 😳
 
If you’d be positive for a second utagundua wale so called ‘ ndugu wanaojiskia/ roho mbaya ‘ ni jamaa flani tuu waloamua kutoruhusu drama za ukoo ziingie kwenye familia zao and some random relatives didn’t like that so they spread the propaganda about them and people fell for it.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…