Wadau mnaishije na ndugu?

Wanaume walozungumzwa kwenye vitabu vya dini ni wewe na mume wangu#kidding[emoji28]
Hongera sana ww ndo definition ya mpambanaji
Kuhusu huyo ndugu yako mu ignore inapowezaka sehemu ya kumpiga tafu fanya hivyo ila usichukue mkopo
kwa ajili yake
[emoji625] [emoji419][emoji419][emoji419][emoji625] Hii aiwekee lamination kabisa na ai pin [emoji419] sebleni awe anaisoma kila siku...

Uzuri ni kwamba ameshamsaidia hasaidiki ila sasa huyo ndugu yake amemgeuza jamaa kama proxy wa kupata pesa ili afanyie usengèrema..
 
Pole kwa changamoto, mwalimu mbona una hati mbaya sana? Watoto unawafundisha nini huko shuleni?
 
Yeah huyo ndugu yake namfananisha na tumbo na mnyama fulani anaitwa punda
 
Hata mwanamke alie nae amechangia sana kumfanya jamaa atoboe, yaani ana wife material jamaa ali bahatisha aisee sio sie tunakutana na vikosi vya mizinga AkA golddiggers. Wanawake wa sasa wenye akili ya maisha ni wa kubahatisha sana..
Kweli kabisa,ukipata mwenza mzuri walau unafarajika hata unapo kutana na magumu

Si unaona baada ya kukosa ajira ya kwanza,wife alimpa moyo,sasa wangekuwa hawa akina mwajuma ndala ndefu au fetty wa mikoroshini (Evelyn Salt ) utajua haujui
 
Unauliza ufanyeje kwa mtu ambaye unajua kabisa hela anatumia hovyo?
 
Pole mwalimu,maisha mapambano,nakuhakikishia utatoboa
 
Kwanza huyo zabron namfahamu anaishi karib na AIC MAKONGORO KABLA HUJAFKA MATAA YA NELA!
kikubwa usimkasirikie kaka yako mkubwa, kuna sehemu umemtaja kama alibeba mzigo kukutunza, huwez jua alipitia mambo gan kuwatunza..
kaen naye mfundishe nidhamu ya fedha. UMETUNZWA NA NDUGU, USIWAKIMBIE NDUGU..
inawezekana MUNGU kakuweka kwenye mizani, jipime vizuri bila ghadhabu.
 
Pole mwalimu,maisha mapambano,nakuhakikishia utatoboa
Hatotoboa zaidi ya hapo, au atarudi nyuma na kuishi maisha kagumu sana endapo hatofanya maamuzi magumu ya kukataa kutumika na hao ndugu zake wanao mdanganya awakopee wao wafanya ujinga lich ya kua kasaidiwa nao huko nyuma ila msaada wao usigeuke kama fimbo sasa kwake.....

......Anatakiwa awe na roho ya kibandidu sasa apambanie familiar yake kwanza, huu ndiyo muda wa kuenjoy yeye na mke wake na mwanae kwa msoto aliopitia huko way back anatakiwa a refresh maisha awe na furaha sio stress za kujitakia..
 
Acha kushauri ujinga. Huyu akifuata huu ushauri wako atakuwa fukara kama ndugu zake. Bora kwa sasa hivi akaweka tinted hata miaka mitatu ili awe sawa kwanza kwa upande wake. Sasa wote wakiwa maskini watasaidianaje?
 
Yaani mdogo mtu ndio amfundishe kaka mtu nidhamu ya pesa? Kumlea isiwe sababu. Amkatae tu. Kama ni msaada ampe pale atakapokuwa amekwama. Usikute jamaa anafanya makusudi kisa alimsomesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…