wao waachane tu bana.....a a....
Hapo ndio napokupendeaga Preta hurembi,na mimi siku zote nawaambiaga humu ni vyema kutesti ujue kabisa ngoma unayoenda kuicheza,kuna mmoja aliwahi kujitangaza humu kuwa yeye ana nchi 18 sasa sijui wa hivyo ukikutana naye utavunja ndoa siku ya pili au.... Kwa ushauri wangu hao wanandoa waachane tu na wakilazimisha kuendelea katika ndoa hiyo wajue kabisa kina Paka Mweusi tupo na hatutokuwa nyuma katika kuwasaidia...
Ndiyo kusema mtakatifu unajiamini unamiliki "kitu ya adabu"
kwa maneno mengine "umejaaliwa" kitu kipo!
Au ?
Ingekua waungwana wanakimbiwa! Mbona chines kila uchao mauzo yanaongezeka?
...cwanasemaga tingisha chupa ya dawa kabla hujainywa..
wao waachane tu bana.....a a....