Mbona wa kawaida sana!
Jamaa wameweka msingi wa nguvu wa zege ila hizo gorofa za juu ndio hawataki ujinga wala gharama. Ni ubao, sponji na maboksi. Hawataki tofali, hawataki nondo hawataki kabisa kusikia habari ya zege. Mbongo umwambie ajenge chumba bila ya kukandika matofali atakuelewa? Halafu jina la mtaa ni muhimu kabla hata nyumba haijajengwa.
Mara nyingi hii naonaga kwenye project za ile miji inayokumbwa na vimbunga vikali na mafuriko hasa ndio hujenga mifumo ya nyumba kama hizo.
Huku Canada nyumba zote za mbao.. Zege ni kwenye msingi. Magorofa zaidi ya 5 na kuendelea ndiyo hujengwa kwa simenti.
Hivi ulisikia kilichotokea Grenfell Tower UK?
Jamaa wameweka msingi wa nguvu wa zege ila hizo gorofa za juu ndio hawataki ujinga wala gharama. Ni ubao, sponji na maboksi. Hawataki tofali, hawataki nondo hawataki kabisa kusikia habari ya zege. Mbongo umwambie ajenge chumba bila ya kukandika matofali atakuelewa? Halafu jina la mtaa ni muhimu kabla hata nyumba haijajengwa.
Smart911 Love ushawahi expect earthquake those days huko J?? ilikuaje??
Mbao ikioza inakuaje hapo!
Tatizo huku usalama wa nyumba ya mbao ni mdogo sana, mtu anapiga shoka moja yuko chumbani kwakoEnd product ni hii
Utaamini hiyo nyumba ni ya mbao tupu?
Kuhusu mbona nyumba za miti kijijini zinakaa miaka kibao. Isitoshe mbao hizi zinapigwa dawa ya kuuwa mchwa.