Wadau,hivi katika nchi za wenzetu hili linawezekana?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,981
144,283
"Mtu mzima na akili zako unaamka asubuhi kisha unaingia bafuni unaogo unaingia chumbani kwako unapiga suti yako na tai alafu unaingia kwenye gari ya serikali unaelekea ofisini."

"Unaingia ofisi ya umma unaanaza kutekeleza majukumu yako(unapitia mafaili,n.k) huku ukipata kikombe cha chai na vitafunwa kwa kodi za wananchi alafu kumbe una cheti feki na wala hushituki japo unanyooshewa vidole huku tuhuma umeshindwa kuzikanusha na usingizi unapata sio nyumbani tu bali sometimes hata kwenye kochi ofisini kwako"

Alafu Jumapili ikifika huyo kanisani!!

Only in Tanzania!
 
Mkuu hayo ni matokeo ya watumishi wetu wenye vyeti feki.

Hivyo usishangae shangaa sisi tunaowapa hizo ofisi kwa wali maharage kofia na kanga
 
Hii nchi vituko sana, kama vyeti feki tumeshindwa kulimaliza kwa mkupuo au ukaguzi mmoja hili la mihadharati tusahau kulimaliza. Kila kukicha vyeti feki, kweli? Tunaweza operation ipi sasa kama hii nayo inakwenda mwaka mzima.
 
Nami naongezea swali, je inawezekana kutokea huko duniani, una na mtu unamtangaza kua ni fisadi kwa miaka saba au nane kua ni fisadi mkubwa, aogopwe kama ukoma, atakae muunga mkono akapimwe akili, alafu ghafla huyo mtu unamchukua kua mgombea Urais, alafu wewe uliekua una mnadi kama fisadi, Leo unasema sio fisadi,

Je kwa wenzetu ambao hawafikirii kwa kufikiria matumbo yao je inawezekana kubadili gia angani
 
"Mtu mzima na akili zako unaamka asubuhi kisha unaingia bafuni unaogo unaingia chumbani kwako unapiga suti yako na tai alafu unaingia kwenye gari ya serikali unaelekea ofisini."

"Unaingia ofisi ya umma unaanaza kutekeleza majukumu yako(unapitia mafaili,n.k) huku ukipata kikombe cha chai na vitafunwa kwa kodi za wananchi alafu kumbe una cheti feki na wala hushituki japo unanyooshewa vidole huku tuhuma umeshindwa kuzikanusha na usingizi unapata sio nyumbani tu bali sometimes hata kwenye kochi ofisini kwako"

Alafu Jumapili ikifika huyo kanisani!!

Only in Tanzania!
Hii ni Saturday Night Special.
cc Daudi.
 
hizi ni dalili za vyeti feki
 
Hii ndio sababu nchi hii haitaendelea toks ipate uhuru, wanaoongoza wengi ni mbumbu na wslioelimika nao ni majizi
"Mtu mzima na akili zako unaamka asubuhi kisha unaingia bafuni unaogo unaingia chumbani kwako unapiga suti yako na tai alafu unaingia kwenye gari ya serikali unaelekea ofisini."

"Unaingia ofisi ya umma unaanaza kutekeleza majukumu yako(unapitia mafaili,n.k) huku ukipata kikombe cha chai na vitafunwa kwa kodi za wananchi alafu kumbe una cheti feki na wala hushituki japo unanyooshewa vidole huku tuhuma umeshindwa kuzikanusha na usingizi unapata sio nyumbani tu bali sometimes hata kwenye kochi ofisini kwako"

Alafu Jumapili ikifika huyo kanisani!!

Only in Tanzania!
 
Nami naongezea swali, je inawezekana kutokea huko duniani, una na mtu unamtangaza kua ni fisadi kwa miaka saba au nane kua ni fisadi mkubwa, aogopwe kama ukoma, atakae muunga mkono akapimwe akili, alafu ghafla huyo mtu unamchukua kua mgombea Urais, alafu wewe uliekua una mnadi kama fisadi, Leo unasema sio fisadi,

Je kwa wenzetu ambao hawafikirii kwa kufikiria matumbo yao je inawezekana kubadili gia angani
Hili jibu linatoa maono kwamba hili linalosemwa ni kweli.... Basi tuwawajibishe wote. Ishakuwa kero sasa.
 
Yule ameteuliwa na Rais akutafuta kazi kwa kuwasilisha CV na kufanya interview bahati mbaya Watanganyika wanamuona Mange Kimambi kama ni Google kwamba kila kitu anajua wakati si kweli
 
Hii ni made in Tanzania kwani aliyekufanyia usaili alikuwa hajui kuwa vyeti vyao ni feki? Kama alikuwa anajua na akakupitisha kwanini usipige kabati ukanyonga tai ukajinyea chai na ukaenda kanisani kifua mbele kumtolea Mungu sadaka?
 
Yule ameteuliwa na Rais akutafuta kazi kwa kuwasilisha CV na kufanya interview bahati mbaya Watanganyika wanamuona Mange Kimambi kama ni Google kwamba kila kitu anajua wakati si kweli
Tupe ukweli mkuu
 
huyu nae ni mtanzania muache ale kodi zetu we kinakuuma nini
 
Nami naongezea swali, je inawezekana kutokea huko duniani, una na mtu unamtangaza kua ni fisadi kwa miaka saba au nane kua ni fisadi mkubwa, aogopwe kama ukoma, atakae muunga mkono akapimwe akili, alafu ghafla huyo mtu unamchukua kua mgombea Urais, alafu wewe uliekua una mnadi kama fisadi, Leo unasema sio fisadi,

Je kwa wenzetu ambao hawafikirii kwa kufikiria matumbo yao je inawezekana kubadili gia angani
Vp mahakama ya mafisad hapelekwi au haipo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom