Wadau Heshima kwenu
Jana nimeingia kwenye internet cafe 1 ndani nikakutana na mtu tunafahamiana, huku nikiwa naendelea na huduma niliyopewa,yule bwana akaniletea ujumbe kupitia simu yangu ya kiganjani, ujumbe uliosomeka hivi. "kaka haya maeneo tunayo pata huduma si salama kwa majukumu yetu, so you must be careful ku log out mambo yako" nami nikamjibu hivi, asante ndg usalama ndo nguzo. baada ya muda nilimuaga na kuondoka zangu, nikiiwa njiani akanitumia ujumbe, wakunijulisha kuwa maeneo yale si salama kama nina mabo nyeti, ndipo akanitumia email zangu 3 na password zake.
kiukweli nimechanganyikiwa, nilipo muhoji, alisema nilipo toka aliomba muda kwenye computer niliyokuwa natumia kwa kigezo yake inazinguwa na niliyo kuwa natumia ndo nzuri kwa uharaka.
kifupi nilihisi huenda sikuhakiki, nimekutana naye leo mapema asubuhi nikatumia computer yake kwa kuingia facebook wakati naingia fb nilimuomba anipishe baada ya hapo nika log out. Email yangu ya fb ni tofaut na nyingine, kati ya alizo nitumia jana.
baada ya kumaliza nikamuomba kujua anafanyaje kweye kutambua, akasema kaka we nenda ntakutumia kwa massage ulichofanya. kweli nikaondoka zangu badaye kidogo akanitumia email yangu ninayotumia Facebook na password yake. wadau hiki kitendo kimenichanganya nakujibaini siko salama.