Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 24,896
- 27,021
Yupo homu amejipunzishaDah! kwahiyo sahivi uko wapi na hayo madini yetu.....
Yupo homu amejipunzishaDah! kwahiyo sahivi uko wapi na hayo madini yetu.....
Ushakuwa bilionea nunua na ferrari kabisa. Hongera sana usisahau kuchukua mjengo mbezi beach ama mikocheniWajuzi wa madini,napenda kujua haya ni madini gani?
View attachment 3354889View attachment 3354890View attachment 3354891
Yeah nna koneksheni na wajerumani flani hivi 😁😂😂😂😂 mwambie asiwaambie watu, yeye aseme yuko wap umfuate. Ww si una jua masoko na hayo madini.
Nenda kalime, uvivu wa kulima tuuuuWajuzi wa madini,napenda kujua haya ni madini gani?
View attachment 3354889View attachment 3354890View attachment 3354891
Au aje na Sample kwanza. Ila ww unayajua. Na kama umeyaona na kuyakubali basi akuelekeze tu alipo au yalipo😂😂😂😂Yeah nna koneksheni na wajerumani flani hivi 😁
Manyoni na imesimama vibaya sana ikingoja tandamu kutoka mwanza liingie tukazitumbue pesa za madiniDah! kwahiyo sahivi uko wapi na hayo madini yetu.....
Nikilima ngedere wenzio wanakuja kuvuna kabla yanguNenda kalime, uvivu wa kulima tuuuu
Kwamba?Mzee iyo ni almasi kuvu nipe 2M nikuonyeshe soko
Kauze Tako sasaNikilima ngedere wenzio wanakuja kuvuna kabla yangu
Mbona unamvunja moyo mwenzio, unataka ajiue kwa kupiga punyeto kwa hasira za kukosa hela?Fanya kazi hakuna madini hapo
Hizo koments za waja sasa!!
Sio mbaya aiseeInaitwa Quartz..
Huwa hayana thamani Sana. Ila ukipata the highest quality tarajia bei Tsh 80,000 per kg. Yaani Tsh 80 Million kwa Tani moja.
All the best.