mwenye shamba
JF-Expert Member
- May 31, 2015
- 1,027
- 1,892
Glass hiyooacha kutusumbua ni changarawe katengenezee mapambo kwa jina lukili tena ya kwenu ukoo wenu
kuna aina ngapi za changaraweGlass hiyoo
Nini kazi yake na ipi thamani yake?Inaitwa Quartz..
Yes ni QuartzYamekaa kama Quartz
Lazima nikutafute maana umekuwa ni mwanamke wa ndoto zangu ni vile tu pesa sikuwa nazoUmasikini bye bye.....
Dah! kwahiyo sahivi uko wapi na hayo madini yetu.....Lazima nikutafute maana umekuwa ni mwanamke wa ndoto zangu ni vile tu pesa sikuwa nazo
Ingia playstore download hii App halafu scan itakuambia ni aina gani ya maweWajuzi wa madini,napenda kujua haya ni madini gani?
View attachment 3354889View attachment 3354890View attachment 3354891
😂😂😂😂 mwambie asiwaambie watu, yeye aseme yuko wap umfuate. Ww si una jua masoko na hayo madini.Dah! kwahiyo sahivi uko wapi na hayo madini yetu.....