Wadau hapa hakuna upigaji kweli hapa...?

Wadau hapa hakuna upigaji kweli hapa...?

Wadada wanatafuta kazi wanapatikana

Isabella ana diploma ya administration 📞 +255 754 773 072 ( stationary+ office attendant ) na etc

Catherine form 4
(Kuuza duka + saloon za kiume+ shell)
📞 +255 678 166 843

Kwa mwenye uwezo wasiliana nao
Ahsante
 
Usikariri dogo.. kwanza hvyo vyuo vya Lita hata sivifahamu dogo. Sio Kila mada unayoona humu basi inamuhusu member husika.

Jukwaa la Elimu (Education Forum)
Msaada Tafadhalini Vyuo vya Mifugo(LITA)
Thread starterShombe la Kisomali Start dateJun 6, 2017
Ignore
Watch

Shombe la Kisomali
JF-Expert Member
Jun 6, 2017
Add bookmark
#1
Habari wakuu..
Kuna binamu yangu kamaliza four 4 mwaka jana, Hivyo anapenda mwaka huu ajiunge na chuo cha mifugo (LITAs) ili asome astashahada ya Animal health and Production.
So mwenye infos kuhusu maombi, contact au mtu yeyote anayesoma katika vyuo hivyo..Msaada tafadhar

Matokeo ya huyu dogo..
Bios - C
Chem - D
Geog - D
Math - D
Eng - D
Kisw - B
Yaliyobaki yote kapata "E"
Thanks Quote ReplyReport
I
ivan don
JF-Expert Member
Jun 7, 2017
Add bookmark
#2
Shombe la Kisomali said:
Habari wakuu..
Kuna binamu yangu kamaliza four 4 mwaka jana, Hivyo anapenda mwaka huu ajiunge na chuo cha mifugo (LITAs) ili asome astashahada ya Animal health and Production.
So mwenye infos kuhusu maombi, contact au mtu yeyote anayesoma katika vyuo hivyo..Msaada tafadhar

Matokeo ya huyu dogo..
Bios - C
Chem - D
Geog - D
Math - D
Eng - D
Kisw - D
Yaliyobaki yote kapata "F"
Click to expand...Saizi maombi yanatumwa moja kwa moja chuoni hivo ni kutafuta masanduku ya posta ya vyuo vya Lita kama vile, mpwapwa, Tengeru, Buhuri, Morogoro nk.
Namba hii ni ya mwalimu wa lita morogoro 0755506555 labda unaweza kupata unachotaka
Thanks Quote ReplyReport
Reactions:fakalava

Shombe la Kisomali
JF-Expert Member
Jun 7, 2017
Add bookmark
#3
ivan don said:
Saizi maombi yanatumwa moja kwa moja chuoni hivo ni kutafuta masanduku ya posta ya vyuo vya Lita kama vile, mpwapwa, Tengeru, Buhuri, Morogoro nk.
Namba hii ni ya mwalimu wa lita morogoro 0755506555 labda unaweza kupata unachotaka
Asante mkuu, hebu niwasilianenae
Thanks Quote ReplyReport

Mwanamaji
JF-Expert Member
Jun 7, 2017
Add bookmark
#4
Shombe la Kisomali said:
Habari wakuu..
Kuna binamu yangu kamaliza four 4 mwaka jana, Hivyo anapenda mwaka huu ajiunge na chuo cha mifugo (LITAs) ili asome astashahada ya Animal health and Production.
So mwenye infos kuhusu maombi, contact au mtu yeyote anayesoma katika vyuo hivyo..Msaada tafadhar

Matokeo ya huyu dogo..
Bios - C
Chem - D
Geog - D
Math - D
Eng - D
Kisw - D
Yaliyobaki yote kapata "F"
Click to expand...
Kwa matokeo hayo, hakika nduguyo " amejichagua mwenyewe". Pamoja na kuwasiliana na huyo mwalimu kama ulivyopewa namba na mdau hapo juu, uwe unatembelea website ya wizara ya kilimo, mifugo na uvuvi maana fomu zq maombi huwa zinapatikana huko (kwa sasa bado hawajaziweka hadi Mara ya mwisho nilivyoangalia). Kila la heri kwako na kwa mtaalam mtarajiwa wa mifugo.
Thanks Quote ReplyReport

Shombe la Kisomali
JF-Expert Member
Jun 7, 2017
Add bookmark
#5
ndio walewale said:

Click to expand...Shukrani mkuu, mungu atajaaliaH na malengo ya dogo yatatimia
Thanks Quote ReplyReport
Reactions:Mwanamaji

Mwanamaji
JF-Expert Member
Jun 8, 2017
Add bookmark
#6
Fomu ya maombi hii hapa, kazi kwako.
Thanks Quote ReplyReport

Mwanamaji
JF-Expert Member
Jun 8, 2017
Add bookmark
#7
Ooh no, Device ninayoitumia inakwama Ku upload, hebu pita kwenye website ya wizara ya kilimo utakuta mambo hadharani
Thanks Quote ReplyReport

Shombe la Kisomali
JF-Expert Member
Jun 8, 2017
Add bookmark
#8
ndio walewale said:
Ooh no, Device ninayoitumia inakwama Ku upload, hebu pita kwenye website ya wizara ya kilimo utakuta mambo hadharani
Mkuu, wizara ya kilimo naona wamerelease form za vyuo vya kilimo tu ( MATIs) na sio vyuo vya mifugo (LITAs)
Thanks Quote ReplyReport

Mwanamaji
JF-Expert Member
Jun 9, 2017
Add bookmark
#9
Shombe la Kisomali said:
Mkuu, wizara ya kilimo naona wamerelease form za vyuo vya kilimo tu ( MATIs) na sio vyuo vya mifugo (LITAs)

www.lita.go.tz ikishindikana hapo basi PM namba yako unayotumia wasap.
Thanks Quote ReplyReport

Shombe la Kisomali
JF-Expert Member
Jun 9, 2017
Add bookmark
#10
ndio walewale said:
www.lita.go.tz ikishindikana hapo basi PM namba yako unayotumia wasap.
Kweli mkuu hii website ndo ilikuwa dawa ya ugonjwa wangu.. So nmepakua form kila kitu kipo fresh
Thanks Quote ReplyReport
Reactions:Mwanamaji

D Metakelfin
JF-Expert Member
Jun 10, 2017
Add bookmark
#11
Mbona umefeli sana halafu unasingizia binamu yako
Thanks Quote ReplyReport
Reactions:BILGERT

Shombe la Kisomali
JF-Expert Member
Jun 10, 2017
Add bookmark
#12
K NI K said:
Mbona umefeli sana halafu unasingizia binamu yako
Ila fahamu kuwa matokeo haya hata mkuu wako wa mkoa Bashite hana na unakubali akuongoze
Thanks Quote ReplyReport

D Metakelfin
JF-Expert Member
Jun 10, 2017
Add bookmark
#13
Shombe la Kisomali said:
Ila fahamu kuwa matokeo haya hata mkuu wako wa mkoa Bashite hana na unakubali akuongoze
Sawa ila nilijaribu kukwambia tu si vyema kumtaja binamu ilhali mhusika ni wew kumbuka sijamuongelea bashite ila umemtumia kupotezea tu
Thanks Quote ReplyReport

Shombe la Kisomali
JF-Expert Member
Jun 10, 2017
Add bookmark
#14
K NI K said:
Sawa ila nilijaribu kukwambia tu si vyema kumtaja binamu ilhali mhusika ni wew kumbuka sijamuongelea bashite ila umemtumia kupotezea tu
sawa master ila hawa madogo ni wetu so hatuna budi kuwasaidia kwa kila hali na mali..
ndo maana tunaangaika namna hii
Thanks Quote ReplyReport
M
Mwanaoshimba
Member
Jun 10, 2017
Add bookmark
#15
Kazi ni kwako!
Attachments
File size443 KB
Views521
Thanks Quote ReplyReport

Shombe la Kisomali
JF-Expert Member
Jun 10, 2017
Add bookmark
#16
Mwanaoshimba said:
Kazi ni kwako!
ok mkuu, pamojaH sana
Thanks Quote ReplyReport

Bold

Italic

More options…

Insert link

Insert image

More options…

Undo

More options…

Preview
Font size
Text color
Font family
List
Alignment
Align left
Align center
Align right
Justify text
Paragraph format

Strike-through
Underline
Inline spoiler
Inline code
Smilies
Quote
Insert video
Media
Insert table
Insert horizontal line
Spoiler
Code
Subscript
Superscript
Redo
Toggle BB code
Remove formatting
Drafts

Write your reply...

Post reply

Attach files

Insert quotes…
Similar Discussions
Msaada: Mdogo wangu amepata III ya 25 lakini hajachaguliwa kwenda Chuo wala Advance
Pablo 119 Jukwaa la Elimu (Education Forum)
Replies 13 Views 1,209
Msaada juu ya kombi ya kusoma
Diallo genius Jukwaa la Elimu (Education Forum) 2 3
Replies 42 Views 3,659
Nimemaliza Kidato cha nne 2018 lakini matokeo si haba nimekutana na kikwazo naombeni msaada
Victor Chilambo Jukwaa la Elimu (Education Forum) 3 4 5
Replies 87 Views 7,110
Kozi nzuri ya kusoma
Babjitz Jukwaa la Elimu (Education Forum)
Replies 5 Views 2,241
Msaada: Anaweza kujiunga kidato cha tano au kusomea kozi gani?!!
inyele Jukwaa la Elimu (Education Forum) 2
Replies 22 Views 2,430
Share:
Facebook
Twitter
Reddit
WhatsApp
Email
Link
Jukwaa la Elimu (Education Forum)

Edit
Mwaronk
Member
Messages85
Reaction score45
Trophy points125
ABOUT US
JamiiForums.com is a Digital Platform managed by Jamii Forums (an NGO). You have to register to be able to engage or start a discussion.
If you face any difficulties, please

Contact Us...
OUR LOCATION
Our Head Office is in Dar es Salaam, Tanzania. We mostly work virtually.
For anything related to this site please, Contact us!

Contact JF...
DISCLAIMER
JamiiForums, its partners and affiliates are not responsible for the content of discussions that are initiated by users...

Read more...
FORUM RULES
JamiiForums is Managed under the rules set by users and moderators to safeguard you.
You MUST read them and comply accordingly.

Read more...
PRIVACY POLICY
We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.
Read our Privacy Policy.

Proceed here...
Change Mode
Change Mode
Contact us
Terms and rules
JamiiForums' Privacy Policy
Help
Top
Bottom
 
inafurahisha Sana unavosema vyuo vya lita huvifahamu .....
Skia ww, Mimi sijasoma vyuo vya Lita na kazi umeona Uzi wangu wowote humu kuhusu vyuo vya Lita, frankly Wenda nilileta on behalf.. Obviously sivifahamu vyuo vya Lita Mbona unalazimisha mambo shida yako ni nini kwani..?
 
Back
Top Bottom