Nangose 1
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 7,207
- 6,786
Wadau naona pamekaa kimchongomchongo sana.. alafu nimejaribu kama kutuma kupitia email Yao ila email yenyewe haieleweki wakuu mara inagoma dadeq..
Ichungulie vizuri hyo email Yao wakuu maana hawakawi hawa wenyewe tunaangaikia Ajira na wao wanatafuta fursa kupitia waangaikaji
Ichungulie vizuri hyo email Yao wakuu maana hawakawi hawa wenyewe tunaangaikia Ajira na wao wanatafuta fursa kupitia waangaikaji