Huo uchumba wa namna hiyo si utaki.... Chaaa!mpaka ndugu na marafiki wanawachoka!
kweli kabisa na ukiachwa ww mliekaa naye miaka sita ataoa/kuolewa fastaWazee wa zamani hawakukaa uchumba wala nini, mzee akimuona binti mzuri leo, anamposea mwanawe na baada ya wiki 3 za maandaliz, ndoa inafungwa!
Yani mchumba kaonekana leo, hazizidi wiki nne ndoa inafungwa fasta na wamedumu miaka dahari hadi kuzikana!!!
Lakini vijana wa siku hizi mnazini miaka Sita mkijidai eti mnachunguzana , Hatimae mnaishia kugegedana tuuu no ndoa!!
Si ndio apo sasawakutiana mokosi na kupotezeana fursa
Tena itabidi tufungie hizi papuchi zetu mpaka ndoakama anataka asipewe papuchi miaka sita uone kama atakubali![emoji12] [emoji3] [emoji3]
Hatari sana!!kweli kabisa na ukiachwa ww mliekaa naye miaka sita ataoa/kuolewa fasta
Ha haa na zisitishwe tu mana hakuna namnautanuniwa hatareee na huduma.zitasitishwa
Hivyo hutaolewa sasa , mm ntakuaje na uhakika unayo ! nisije nikakuoa nkauta ipo mapajani ..Tena itabidi tufungie hizi papuchi zetu mpaka ndoa
Ha haa hampati kitu... Fungieni zenu na nyieHivyo hutaolewa sasa , mm ntakuaje na uhakika unayo ! nisije nikakuoa nkauta ipo mapajani ..