Hehehehiyo migume gume haifugiki mama angu utajishusha kwa kila kila kitu lazima atatoka nje kwahiyo akipatikana wa kumlea amlee tu
Wanaume wenyewe wanahurka ya kulelewa hovyo na kila mwanamke. Hata ubinuke, umvue viatu kila siku na kila kitu bado ataona anapungukiwa kitu fulani.
mwisho wa siku lazima arudi tu na unampokea kwa mahaba tele anabaki anatoa toa macho [emoji23]Hehehe
Hilo nalo neno, alelewe tu sio mwisho wa siku atarudisha kengele kwako
Ha ha ha.. Sijui wanataka walelewe vip.Umesahau hawa wenzetu ni walemavu, kila kitu ni wa kufanyiwa, hadi wakitakacho sasa eti waonyeshwe!!!
Kwa ufupi hawajuagi wanataka nini kwa wanawake.
Aliyesema wanaume baba yao na mmoja hakukosea kabisa.Baadhi ya wanaume.
unatakiwa kukijua ili utuonyeshe.Hahaha! Labda mnatafuta nini msichokipata kwa wanawake kuwa mkweli
Hahahaa! Umeamua kuja kuleta uteteziBaadhi ya wanaume si wanaume wote. Mbona juzi hapa kulikuwa na uzi wa jamaa aliyeamua kuishi na mrembo baada ya Baba yake kumkatalia kwa sababu tu si Mkurya mwenzie!? Anajitambua huyu na pia anajua anataka nini. Kuoza kwa samaki mmoja hakumaanishi samaki wote wameoza. Kutukana wakunga na uzazi ungalipo si kitu chema. Najua uko salama furahia weekend yako.
Baba yangu hataki nioe kabila tofauti na langu
ni kweli hatujui, Ila mnacho tunacho kitafuta, shida hamtaki kukionyesha labda kwa kuwa hamjui tunashida na hicho kitu.Kulea mtu asiyejua anataka nin changamoto sana
Hehehemwisho wa siku lazima arudi tu na unampokea kwa mahaba tele anabaki anatoa toa macho [emoji23]
utasubiri sana, unadhani wanaume wanajua wanacho kitafuta.. haaaaKumuonyesha mwanaume anachokitaka haitoshi ni yeye mwanaume aamue kukiona anachokitafuta kwa mwanamke fulani
Sasa mi nitajuaje wakati wewe ndio umesema hamkipati mnachokitakaunatakiwa kukijua ili utuonyeshe.
Naona umekuja na ushahidi kabisaa, mkuu usiamini kila unachokisomaBaadhi ya wanaume si wanaume wote. Mbona juzi hapa kulikuwa na uzi wa jamaa aliyeamua kuishi na mrembo baada ya Baba yake kumkatalia kwa sababu tu si Mkurya mwenzie!? Anajitambua huyu na pia anajua anataka nini. Kuoza kwa samaki mmoja hakumaanishi samaki wote wameoza. Kutukana wakunga na uzazi ungalipo si kitu chema. Najua uko salama furahia weekend yako.
Baba yangu hataki nioe kabila tofauti na langu
Aliyesema wanaume baba yao na mmoja hakukosea kabisa.
kumbuka wapo walio fanikiwa kuwapata wanawake ambao wanajua wanaume wanacho kitafuta na wakawaonyesha, wanawake kama hao ni wachache sana . wanawake wengi wanapoteza muda kuwaonyesha wanaume mazagazaga ambayo hata hayahitajiki, mwisho wanaishia kuwalaumu wanaume kwamba hawaeleweki.Umesahau hawa wenzetu ni walemavu, kila kitu ni wa kufanyiwa, hadi wakitakacho sasa eti waonyeshwe!!!
Naona umekuja na ushahidi kabisaa, mkuu usiamini kila unachokisoma
Hahahaaa! Kumbe una maneno mumyHehehe
Hilo nalo neno, alelewe tu sio mwisho wa siku atarudisha kengele kwako
Ivi nyie mnajionaga mnatupatia kwa kila kitu, eti ekumbuka wapo walio fanikiwa kuwapata wanawake ambao wanajua wanaume wanacho kitafuta na wakawaonyesha, wanawake kama hao ni wachache sana . wanawake wengi wanapoteza muda kuwaonyesha wanaume mazagazaga ambayo hata hayahitajiki, mwisho wanaishia kuwalaumu wanaume kwamba hawaeleweki.