Wadada wezangu pitieni hapa kuna cha kujifunza

Wadada wezangu pitieni hapa kuna cha kujifunza

Kat ya vitu ambavyo Najisifia kuweza kuviacha na kufanikiwa kwa 100% ni uzinzi. Kwa jinsi nilivyokua hapo mwanzo, Kweli Hakuna kinachoshindikana asee
 
Ukimwi upo wakuu ...miezi 6 iliyopita tulizika uku mtaani kwetu mdada age range 25~26.

Huu ugonjwa mbaya sana wakuu yani unaisha sana.

Kua na mpenzi mmoja tu na muwe waaminifu then kila baada ya miezi angalau 4 sio mbaya kuchek afya zenu

Magonjwa yote hatari lakini ukimwi unapukutika asikwambie mtu

Yule Dada aliisha sana mpaka nikaogopa .

Kama una ndugu au rafiki ni dokta au ata nesi muulize hali ikoje ....unaweza jiunga gafla uwanachama chaputa.
 
Back
Top Bottom